BRAVO 2 ZERO
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,174
- 1,196
Ye mwenyewe yupo rough tu juzi kati naye kapata ajali kisa kukimbizana na basi lake.Hayupo mtu wa kufirisiwa sababu ya mabasi hapo. Mabasi hayo ni sehemu ndogo sana ya utajiri wa huyu njemba. Hata kama kufirisika kupo,lakini si ksbb ya mabasi kwa huyu mwamba.
Sio hekima kutoa siri za wateja mkuuMkuu, kwako washakuja wangapi kuusaka utajiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na pesa sana?ila huyo mwamba ni tycoon kishenzi,
hiyo biashara ya mabasi wa ni sehemu ndogo sana ya utajiri wa huyo mheshisimiwa
Nyie ndio muna sababisha Elimu yetu kuwa ya kitumwa leo hiii unawaza mazingaumbwee kweli halafu mtu mwenyewe nani Mshana Jr du inatishaHizo ajali sio za makusudi wala bahati mbaya...zina mkono usioonekana. Kuna kitu kinaitwa KUZINGATIA MASHARTI hasa kama mali zenyewe umezipata kupitia njia zetu zile.. Sauli anapotea muda si mrefu
Ridomil gold hakuna kitakachobadili uhalisia wa kile nilichoandika kwakuwa nina hakika nachoNyie ndio muna sababisha Elimu yetu kuwa ya kitumwa leo hiii unawaza mazingaumbwee kweli halafu mtu mwenyewe nani Mshana Jr du inatisha
Unaambiwa jamaa ni mfanyabiashara ya madini chunya hukoHuyo lazima atafilisika asipokuwa makini
Mabasi ya Sauli yanayofanya safari zake kuelekea mikoa ya Nyanda za juu Kusini hakika yalijipambanua ni ya uhakika na salama.
Ajabu kwa siku za hivi karibuni ndiyo mabasi yanayoongoza kwa ajali za ovyo ovyo zinazosababishwa na uzembe wa madereva.
Mliopo karibu na mmiliki wa mabasi ya Sauli mwambie asipowekeza kwa madereva makini hiyo biashara yake inaenda kufa kifo kibaya kabisa.
Fikiria ndani ya miezi mitatu alishapata hasara ya basi jipya kabisa ambalo liliisha na matatu yaliyopata ajali na kuharibika kabisa.
Nyie ndio muna sababisha Elimu yetu kuwa ya kitumwa leo hiii unawaza mazingaumbwee kweli halafu mtu mwenyewe nani Mshana Jr du inatisha
Kama Akili yako ina kutuma kuzani .Bima hutolewa kirahisi tu kapime mkojoJua kuwa BIMA wanahusika na kila ajali
Hivi Sumry bado yupo?
Sauli "mnyama mkali" kudadadekiMabasi ya Sauli yanayofanya safari zake kuelekea mikoa ya Nyanda za juu Kusini hakika yalijipambanua ni ya uhakika na salama.
Ajabu kwa siku za hivi karibuni ndiyo mabasi yanayoongoza kwa ajali za ovyo ovyo zinazosababishwa na uzembe wa madereva.
Mliopo karibu na mmiliki wa mabasi ya Sauli mwambie asipowekeza kwa madereva makini hiyo biashara yake inaenda kufa kifo kibaya kabisa.
Fikiria ndani ya miezi mitatu alishapata hasara ya basi jipya kabisa ambalo liliisha na matatu yaliyopata ajali na kuharibika kabisa.
Hivi Sumry bado yupo?
Sawa sawaSumry Hakufilisika alibadili biashara tu sasa hivi analima kilimo cha kisasa hekari 5000
Lazima atoe kafaraHizo ajali sio za makusudi wala bahati mbaya...zina mkono usioonekana. Kuna kitu kinaitwa KUZINGATIA MASHARTI hasa kama mali zenyewe umezipata kupitia njia zetu zile.. Sauli anapotea muda si mrefu