Mmiliki wa mabasi ya Super Sami atoweka, gari lake lachomwa moto Serengeti

Gari lichomwe ad kuteketea tena kwenye hifadhi bila askar Wa wanyama pori kugundua wala kutouona moshi!?

Alafu wanajisifu kwa kupambana na majangili.

Mungu hailaze mahali pema roho ya marehem.
we bila shika hujawah kufaulu mitihanj! ni wapi hapo kwenye post wamesema gari limechomwa kwenye hifadhi? au unafikiri mtu akisema Serengeti basi eneo lote la wilaya ni mbuga?
 
Ghazwati waeleze vizuri wadau aliunguzwa pamoja na gari yake au walimtoa wakamuulia pembeni?
 
Duh......so sad jamani, Poleni wanafamilia, jamaa na marafiki!
 
Mwili wake haujapatikana hadi sasa,ndugu wa karibu na vyombo vya usalama ndiyo wametoka kwenye mbuga za Serengeti kumutafuta na hawajapa mwili wake endeleeni kutafuta habari za uhakika zaidi

Mmh! Inatisha na kuogopesha
 
we bila shika hujawah kufaulu mitihanj! ni wapi hapo kwenye post wamesema gari limechomwa kwenye hifadhi? au unafikiri mtu akisema Serengeti basi eneo lote la wilaya ni mbuga?
Pia kwenye post amna mahali wamesema gari lemechomewa kwenye makazi ya watu au kutaja eneo

Jaribu kufikiri kutokana na mazingira

Stupid mind!
 
Nimesomaasehemu hiihabari kunamkudhulumiana hapokati marehemu pekee ndiemwenye kuja aeleze ukwelihalisi
 
Mwili wake haujapatikana hadi sasa,ndugu wa karibu na vyombo vya usalama ndiyo wametoka kwenye mbuga za Serengeti kumutafuta na hawajapa mwili wake endeleeni kutafuta habari za uhakika zaidi
mbona habari inasema ameuwawa na gari kuchomwa moto??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…