Mmiliki wa mabasi ya Super Sami atoweka, gari lake lachomwa moto Serengeti

Gari lichomwe ad kuteketea tena kwenye hifadhi bila askar Wa wanyama pori kugundua wala kutouona moshi!?

Alafu wanajisifu kwa kupambana na majangili.

Mungu hailaze mahali pema roho ya marehem.
Wewe huujui ukubwa wa serengeti
 
mleta mada mbona anatuchanganya! mbona wafuatiliaji wanasema hawajaona mwili wake ?!( rejea post namba moja)
 
Hakuna uthibitisho kama kweli kauwawa kwa kuwa mabaki yake hayajapatikana huwenda kahifadhiwa pahara uchunguzi wa kina unahitajika kupata majibu ama akiwa hai au akiwa mfu
 
Laiti kama angetupwa baharini waziri wetu angelisema si mtanzania.
 
Nasikia kuna watu wanaanza kusingizia eti alikuwa anasapoti upinzani akapewa onyo lakini hakusikia.Kuna jamaa anaitwa kwinyara ametupia huko kwenye mitandao mingine.Sasa sijui ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…