Mmiliki wa vichwa vya treni pale bandarini alipatikana?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Kuuliza wala siyo ujinga wana JF.

Imenibidi kuwauliza nyie labda kuna mtu ana kumbukumbu ya wapi vilienda vile vichwa vya treni vilivyo okotwa pale bandarini.

Maana tuliambiwa havikuwa na mwenyewe na je hivi leo vipo wapi au alipatikana mwenyewe akavichukua?

Hii Bongo hii wacha kabisaaa

 
Ila CCM bhana
 
Si alikuwa anajua kuwa ana Betrii,we umemsikia Samia akiongelea kufakufa.
Kwani kutokuongelea ndio kutokufa? Kuna watu hawaongelei kufa sababu wanaogopa kifo. Na wakati huo wakijua hawana maajabu yoyote watakayoacha wakifa leo.
 
Na vile vigari vilivyofanywa kuwa ambulensi navyo vilikuwa vya nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…