Mmiliki wa vichwa vya treni pale bandarini alipatikana?

Kwani kutokuongelea ndio kutokufa? Kuna watu hawaongelei kufa sababu wanaogopa kifo. Na wakati huo wakijua hawana maajabu yoyote watakayoacha wakifa leo.
Aaa..wapi yule alikuwa anakiongelea kifo mpaka tulikuwa tunamshangaa, huenda alikuwa anatembea na Santuri ya Remmy Ongala ya KIFO kwenye Suti.
 
Aaa..wapi yule alikuwa anakiongelea kifo mpaka tulikuwa tunamshangaa, huenda alikuwa anatembea na Santuri ya Remmy Ongala ya KIFO kwenye Suti.
Kwa wewe unaeogopa kifo unaweza kushangaa.
 
Waziri anasema serikali walivinunua.. swali walienda kuvinunua kwa nani kama mmiliki haijulikani?
 
Sasa viko wapi mali ya kuota siya kuiba
Kama kuna umuhimu wa kutumika huko utaviona tu. Ni mikakati tu kama huyu wa sasa pia atakuwa nayo au atakuwa anawazia safari ya Januari ya USA kwa ajili ya uzinduzi wa filam yake ya royal tour.
 
Siku gani tena mkuu ujue kuwa siku hazigandi
 
Alikuwa mpumbavu sana.
Acha akalipe unafiki wake huko slokuwa sheitwani kabisa
Kwa uongo yule jamaa alikua Ni toptop
Aisee..naona mnyukano wa kulinda legacy (Sukumas) na waponda legacy (Chagas) unaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…