Mmiliki wa vichwa vya treni pale bandarini alipatikana?

Kama kuna umuhimu wa kutumika huko utaviona tu. Ni mikakati tu kama huyu wa sasa pia atakuwa nayo au atakuwa anawazia safari ya Januari ya USA kwa ajili ya uzinduzi wa filam yake ya royal tour.
Inawezekana ndiyo maana Sanjay Duty yupo hapa
 
Nchi hii ilitumbukia mikononi mwa jitu jinga kuwahi kutokea. Eti shujaawa Afrika....
 


Hizo cheap politics ndio maana Magufuli alikuwa ananyoosha watu.

Vichwa vya train mwenyewe alijulikana ‘Progressive Rail Locomotive’ PRL.

Serikali ikavinunua kwa ku sign mkataba 2018 mbele ya TV kati ya TRC na PRL na maelezo yakatolewa (na hizo video zipo YouTube).

Inawezekana sisi watanzania tuna short ‘memory span’ kushinda binadamu wengine ndio maana tumekuwa watu rahisi sana kulishwa uongo.
 
Mbona unatapika mapovu badala ya kuelewa kilicho andikwa?

Umesahau kuwa watanzania walitangaziwa mchana kweupe kuwa hivyo vichwa havikuwa na mwenyewe pale bandarini?
 
Mmiliki alikua megufuli ila alivyoboya akaja na comedy yake kutuona wajinga kumbe yeye mjinga...ingefika siku akasema kaokota ndege airport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…