Mmiliki wa vichwa vya treni pale bandarini alipatikana?

Ila baba alikuwa msanii yule sijapata kuona. Yaani anajiokotea vichwa vya treni?
Du Magufuli alikuwa hana subira,laiti angefanya mawasiliano na taasi zake kabla ya kutoa tamko angegundua kuwa vichwa vile ni mali ya serikali yaani TRC.
Ndio iliokuwa imeviagiza kwani havikushushwa kiholela kuna shipper na consignee katika bill of landing.
 
Mbona unatapika mapovu badala ya kuelewa kilicho andikwa?

Umesahau kuwa watanzania walitangaziwa mchana kweupe kuwa hivyo vichwa havikuwa na mwenyewe pale bandarini?
A story evolves with new information.

Baadae kama ilivyoripotiwa mwenyewe alijitokeza na wakafanya biashara na TRC.

Sasa tena baada ya miaka 3 ajabu eti hujui viko wapi.

Au unataka uletewe na video uwaone wazungu wenyewe wakisaini mkataba wa manunuzi.

Mshangao wa serikali nani kavileta ukawaulize hao PRL mbona awakujitokeza haraka train zao zilipofika bandarini mpaka serikali ikawa aielewi mwenyewe nani.

Ata wewe ukiagiza gari likafika ata kama wana info za mtumaji usipotokea watauliza mwenye gari ni nani?
 
Kwahiyo hivyo vichwa vilijipakia vyenyewe kwenye meli hadi vikafika bandarini dsm ?

Kulikuwa na umuhimu gani kujifanya vichwa havina mwenyewe wakati vishaingia nchini?

Alikuwa anadanganywa nani na kwa manufaa ya nani?
 
Kwahiyo hivyo vichwa vilijipakia vyenyewe kwenye meli hadi vikafika bandarini dsm ?

Kulikuwa na umuhimu gani kujifanya vichwa havina mwenyewe wakati vishaingia nchini?

Alikuwa anadanganywa nani na kwa manufaa ya nani?
Agiza gari usitokee bandarini uone kama utapigiwa simu ata kama wana details zako.

Ujafika siku zikipita wanapiga mnada tu.

Train zimefika bandarini wao wana shipping info, mwenye mali atokei; sasa hapo cha kushangaa ni kitu gani serikali ikiuliza mwenye mzigo yupo wapi au mbona aonekani.

Making a fuss over nothing
 
Mzee alikuwa na bahati sana ya kuokota mali na mungu akampa kipaji cha Kujisifia mwenyewe.[emoji16][emoji16]
 
Nanong'onezwa hapa leo ni zamu yako ya kusafisha banda la nguruwe umefura kwa hasira!
Bora kusafisha banda la nguruwe kuliko kulazimishwa kulinda kaburi utadhani kuna tanzanite
 
Kamfufue uzikwe wewe.shwaini kabisa
 
Hivi kuna mtu alichukulia bila utani kwamba kweli vichwa hivyo vya treni hajulikani mwenyewe? Mbali na kauli zilizotolewa na Askofu Gwajima katikati ya mwaka kwamba amepata fedha taslimu za kununulia treni nzima, inabidi kujulikana moja kwa moja ni vya nani. Kama si vya Gwajima, lazima viwe vya serikali (kupitia shirika la reli). Aidha, mizigo inayokuja na meli huwa na karatasi zinazosema mzigo umetoka wapi, nani katuma, unakwenda wapi, mwenye mali ni nani, nk. Ingekuwa kifurushi cha dawa za kulevya labda hapo ndiyo taarifa husika zingeweza kuwa za kubabaisha.
 
Mkuu sisi kama wananchi wa kawaida sana kwenye jamii ya watanzania tuliambiwa kuwa vile vichwa havinaagizwa na serikali.

Kama havijaagizwa na serikali nani mhusika ? Hakujitokeza mtu na maana yake ni kuwa viliokotwa.
 
Mataga muda wenu umekwisha, pumzikeni.
Kutesa kwa zamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…