Mmoja Afariki, Wanne Walazwa Wakishindana Kunywa Pombe Moshi

Ikikukataa umekwisha inaondoka na wewe, kuna watu wanajua kucheza nayo wakemia utawakuta wametulia na mizinga mikubwa wanaifuta hata 8/9/10 alafu wapo saafi kabisa
Kemikali yenye reaction ya nini.
 
Uislam ni mwema sana, unakataza kabisa pombe.

Tazama akili za pombe, watu wanajiua kwa elfu 50.
Kwaio Dhambi pekee ni pombe ??!!! Je kichwa kingesomeka wafariki Kwa kwenye shindano la kula WALI NA MAHARAGE...

WANNE WAFA KATIKA SHINDANO LA KULA KILO MBILI ZA WALI NA MAHARAGE??

COMMENT YAKO INGEKUA VP.....

Pombe NDIO mbuzi wa kafara nimemwona mzee wangu anakunywa na hakuacha kuipenda na kujali sana familia...
 
Uislam umefundisha wazi hata namna ya kula.

Pombe ni haramu Kiislam, haina mjadala.


Uislam ni mwema sana.
 
Umaskini ni mbaya Sana tumuombe mungu na tumtangulize kwa kila jambo na tufanye kazi kwa bidii tuache tabia ya kukaa vijiweni

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Pombe sio sigara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…