Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

Kwanini alitekwa , kwanini hawakumuachia baada ya kumuona anatoka nchi rafiki. Au hawaijui bongo . Sisi tunajipendekeza kwao.
Hayo maswali waulize Hamas mimi sijui kwanini waliteka watu , au nchi rafiki.
 
Mkuu Rudia Historia...Nchi iliitwa Palestine na Nani....Utawala wa Ottoman Empire uilipoangishwa na Waingereza.....walimuachia mplestine gani hapo?
Mimi naanzia nilipokuta ukitaka leo hii nikwambie Tanganyika mwaka 1200 ilikua chini ya nani nitakua muongo.
 
Pole kwa familia, watanzania tunalaani mauaji ya raia wasiokuwa na hatia awe myahudi au mpalestina
Wanatumika lugha ya kidiplomasia. Ila ukweli ni kwamba alikuwa mateka. Na mwili wake ulipatikana hapo hospitalini Shifa na majeshi ya Israel.
Waturudishie mwili wetu tuje kuzika, balozi wetu aufuate waulete hadi jeddah atcl ikauchukue, huyu ni shujaa wa tanzania kafa akipigania kuwaondoa watanzania kwenye njaa na umasikini
 
Mkuu Rudia Historia...Nchi iliitwa Palestine na Nani....Utawala wa Ottoman Empire uilipoangishwa na Waingereza.....walimuachia mplestine gani hapo?
Unajua hata Egypt imekalia Gaza toka 1949 to 1956....Halafu 1957 to 1966.......Mbona hamkuita ni occupation...? Rudia historia mkuu....
 
Mchi kama israel tupeleke mabalozi wajeda, hapo brigedia general Gaguti angeufata
 
Pole sana kwa wafiwa,naomba timu Hamas mje na utetezi wenu.
 

Kijana alikwenda kutafuta maisha......akajikuta kwenye kimbunga....wako wengi, toka Nepal, Thailand.....Kinachoniumiza ni kuwa Hamas lazima walifanya interrogations baada ya kuwachukua.....Kwa nini haikuwachia wasio husika....
 
Mimi naanzia nilipokuta ukitaka leo hii nikwambie Tanganyika mwaka 1200 ilikua chini ya nani nitakua muongo.
Kuna mtu kaikuta Tanzania CCM ilipozaliwa, hivyo hawezi kujua kulikua na TAA, TANU nk......ndio maana kna watu wanasema CCM inawenyewe usiwapuuze...
 
Israel ilaaniwe Kwa kusababisha Kijana Wetu kupoteza maisha.
Timu Hamas mlivyoenda kuishambulia Israel kwa sababu zenu za kishamba hamkujua kuwa kuna Raia wa Tanzania huko wasiokuwa na hatia?Na bado mmetuulia kijana wetu na bado unatoa laana kwa mtu ambaye hakuhusika pumbavu.
 
Inshaalah ustaaz
Hapo umesema...Allah....sio Jehovah....ni deity tofauti kabisa....matokeo yake positive and negative tunaona pande zote...Ukisoma Charter ya Hamas....unajua wanapigania nini.....Allah kawapa command ya kuichukua Palestine.....lazima watimize matakwa ya Allah...
 
Haijalishi lakini kumfanya binadamu mwenzako kuwa daraja la pili kama Israel inavyo wachulia wapalestina katika dunia ya sasa ni uovu ulio vuka mipaka.
 
Wazo zuri sana ila watu wetu wa Diplomasia hawana akili kama zako. Wengi wanaenda kwenye Diplomasia sababu ya safari za nje tu. Inasikitisha mnoo
 
Kwani kuna tatizo? Si ardhi yao
 
Haijalishi lakini kumfanya binadamu mwenzako kuwa daraja la pili kama Israel inavyo wachulia wapalestina katika dunia ya sasa ni uovu ulio vuka mipaka.
Ndiyo muue Raia wa Kitanzania wasiokuwa na hatia kisa Israel?
 
Mkuu huyo dogo ali kuwa hajatekwa bali alikuwa amepotea siku ya shambulizi ndo akadhaniwa ame tekwa, wenda aliuawa siku ya shambulizi au vinginevyo na mbaya zaidi huyo mtoa taarifa hakutoa maelezo yanayo eleweka.
Kama alipotea machoni Kwa WA Israeli, mbona hakuwasiliana na Tz , ktk kipindi hicho. Hapo tungesema hajatekwa, lakini kulikuwa hakuna Mawasiliano , sababu ya Hamas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…