Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Alikuwa ametekwa na HAMASTufafanuliwe hili Ili kuondoa sintofahamu kubwa baina yetu
Amekufaje?
Alitekwa na alikuwepo Gaza, hao magaidi HAMAS walimchukua kwa sababu gani?Aliye kwambia amepatikana gaza ni nani?
until are free from this world kwenda kuzimu.
You have your facts upside down.Kwanza kwanini atekwe? Hao Hamas ni magaidi hawafai, hao wapalestine ndiyo waliomsaidia Idi Amin kupigana na sisi.
Which fact is upside down? Ghadaffi hired Palestinians to fight alongside Idd Amin.You have your facts upside down.
Mateka Clemence
Wahusika wakuu wa kifo chake ni Hamas.hadi mwili wake umepatikana,
uchunguzi utabainisha kilichosababisha kifo chake, mathalani ni mateso ya watekaji, kipigo cha watekaji, njaa na kiu kwenye maficho ya watekaji, maradhi na magonjwa ya kawaida au mlipuko katka maficho ya watekaji, hali ya hewa, sumu au ni katika purukushani na mistakes za uvamizi wa waokoa mateka dhidi ya watekaji n.k
Uchunguzi wa mwili utasaidia kwa kiasi kuondoa sintofahamu ya kifo cha muungwana huyu..
Rest In Peace Clemence
Kama wewe unazo hizo taarifa za msingi si uzitoe. Pengine wao hawana.Wapuuzi wameficha taarifa za msingi
IlimtekaFala wewe,Hamas ndio imemuua?
Hata shambulio la Hamas Israel lilisababisha vifo vya watoto na kinamama au hao hawakuwa na maana?Sawa lakini siyo kuua watoto na kinamama.
Ni upuuzi mtupu. Hamas hawana ushujaa ni terrorist wa hovyo. Sema tu hili swala limekaa kidini zaidi. Watu wa dini fulani wanashabikia Hamas na watu wa dini nyingine wanashabikia Israelna kuna psychopaths walikua wanafurahia na kuwaita Hamas mashuja
hii inaumiza sana blood of our blood RIP
Kwa imani yako ya dini lazima u feel maumivu ya wapalestina kuuwawa lakini Hamas walipovamia Israel na kuuwa waisrael uliona ni sawa. Hizi dini tulizoletewa waafrika na wakoloni na kukaririshwa zinasumbua sana.Kifo Cha huyu dogo ndio kimefanya ni feel maumivu wanayopata Wapalestina Kwa kunyanyaswa na kuuwawa ndugu zao na Israel.
Nimeelewa kwamba haitakuja kutokea amani hapo Kwa sababu Nguvu ya Kisasa inakuja unatamani Bora ufe kuliko kumuona mtesi wako.
inafikirisha sana, ulitaka afe wa miaka mingapi?View attachment 2816841
22 yrs old, My deepest sympathies to you and your family, kijana kabisa anaetegemewa na famiia na Taifa kwa ujumla. Clemence Felix Mtenga RIP my little brother.
Wayahudi na WAislamu, Tanzania kuna wayahudi?Ni upuuzi mtupu. Hamas hawana ushujaa ni terrorist wa hovyo. Sema tu hili swala limekaa kidini zaidi. Watu wa dini fulani wanashabikia Hamas na watu wa dini nyingine wanashabikia Israel
MAGAIDI wanaachiaga mtu au mikono yao inanuka damu?Hivi wakati Yaser Arafat akiwa Kiongozi wa Palestine,Hamas walikuwa wanamuunga mkono au hapana?
Nauliza hivi Kwa sababu Nina hakika Serikali yetu ingepitia Iran ambako tuna mahusiano mazuri wao Iran wangewatafuta Washirika wao Hammas wangeqaachia Vijana Wetu.
WAcha kuongeza maneno kwenye taarifa ya ovyo tuliyosomewa:Mazingira ya kifo chake yanaonesha alikuwa hajatekwa bali wenda aliuawa siku ya uvamizi wa hamas sema mwili wake ulikuwa haujatambuliwa.