Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

Una mavi kichwani udini uko wapi hapo?

Turudie mara ngapi.....Soma tena Charter ya Hamas....


Goals of the HAMAS:------------------'The Islamic Resistance Movement is a distinguished Palestinianmovement, whose allegiance is to Allah, and whose way of life isIslam. It strives to raise the banner of Allah over every inch ofPalestine.' (Article 6)On the Destruction of Israel:-----------------------------'Israel will exist and will continue to exist until Islam willobliterate it, just as it obliterated others before it.' (Preamble)The Exclusive Moslem Nature of the Area:----------------------------------------'The land of Palestine is an Islamic Waqf [Holy Possession]consecrated for future Moslem generations until Judgment Day. No onecan renounce it or any part, or abandon it or any part of it.'(Article 11)
 
Unajua kwa nini Hamas ilitengana na PA ya Mahamoud Abbas....? Motives za Hamas is more than land....ni religious.....iko wazi....Hata ukiwapa Land....si mwisho...Hawataki Mayahudi hapo...Period. Direct fro Quran
Sasa kwann Israel asiondoke kwenye ardhi za wapalestina akawa acha PA na hamas wajuane wenyewe?
 
Israe aondoke kwenye ardhi ya wapalestina ili amani ipatikane

Nani kakuambia ni ardhi ya Wapelestine? Labda toka ndani Quran

Soma Hamas Charter.


'The land of Palestine is an Islamic Waqf [Holy Possession]consecrated for future Moslem generations until Judgment Day. No onecan renounce it or any part, or abandon it or any part of it.'(Article 11)'Palestine is an Islamic land... Since this is the case, theLiberation of Palestine is an individual duty for every Moslemwherever he may be.' (Article 13)The Call to Jihad:------------------'The day the enemies usurp part of Moslem land, Jihad becomes theindividual duty of every Moslem. In the face of the Jews' usurpation,it is compulsory that the banner of Jihad be raised.' (Article 15)'Ranks will close, fighters joining other fighters, and masseseverywhere in the Islamic world will come forward in response to thecall of duty, loudly proclaiming: 'Hail to Jihad!'. This cry willreach the heavens and will go on being resounded until liberation isachieved, the invaders vanquished and Allah's victory comes about.'(Article 33)
 
Hivi wakati Yaser Arafat akiwa Kiongozi wa Palestine,Hamas walikuwa wanamuunga mkono au hapana?

Nauliza hivi Kwa sababu Nina hakika Serikali yetu ingepitia Iran ambako tuna mahusiano mazuri wao Iran wangewatafuta Washirika wao Hammas wangeqaachia Vijana Wetu.
unauhakika walitekwa na hamas ?
 
Una uwezo mdogo wa kufikiri ngoja nikuache.

Mkuu uwezo wa kufikiri umenifanya nisome Hamas Charter....nisome kwa nini waliachana Mahamoud Abass.....Ni pale walipoingiza religious factor.....Huo ndio uwezo wangu mdogo....Nipe wako mkubwa wa kinyume na Charter ya Hamas...
 
Yana pita kwenye ardhi za wapalestina zinazo kaliwa kwa mabavu.

Nani karuhusu yapite.......Mkuu ukiacha West Bank na Gaza.....Sehehemu nyingine zote hazina mgogoro wowote ule wa ugomvi....Rudia Historia.....Lakini Hamas wanaofuata Quuran......kila eneo ni lao....Hata Waarabu wanatambua uhalali wa kuwepo Israel....Labda Hamas na Iran.
 
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa masikitiko na huzuni imetangaza kifo cha Clemence Felix Mtenga, Kijana Mtanzania ambaye ni miongoni mwa Watanzania wawili ambao pamoja na raia wa Mataifa mengine walikuwa hawajulikani walipo tangu yaliyopotokea mapigano October 07, 2023 nchini Israel na katika maeneo ya Wapalestina hususani Gaza.

Taarifa iliyotolewa na Wizara haijasema chanzo cha kifo chake na Mji ambao amefia lakini imesema Clemence alikuwa ni miongoni mwa Vijana wa Kitanzania wapatao 260 waliokwenda nchini Israel kushiriki mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa vitendo chini ya Mpango wa Ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Israel.

Tayari Wizara imechukua hatua stahiki ikiwemo kuijulisha Familia na inaendelea kuwasiliana na Serikali ya Israel kuhakikisha kwamba taratibu za kurejesha mwili wa marehemu nchini kwa ajili ya mazishi zinakamilika kwa wakati.

Wizara imesema inaendelea kufuatilia taarifa za Mtanzania mwingine Joshua Mollel ambaye bado hajulikani alipo tangu yalipotokea mashambulizi hayo “Wizara inatoa pole kwa Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na Watanzania kwa ujumla kwa msiba huu

View attachment 2816839
Mijinga inajipanga kuandamana kuiunga mkono Hama's wakatii watanzania wenzetu wakiuawa na Hamas
 
Back
Top Bottom