ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Yana pita kwenye ardhi za wapalestina zinazo kaliwa kwa mabavu.Nani aache umbumbu...kutoa maji toka West BANK KWENDA gaza...mabomba yatapita wapi .....ni umbali kiasi gani.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yana pita kwenye ardhi za wapalestina zinazo kaliwa kwa mabavu.Nani aache umbumbu...kutoa maji toka West BANK KWENDA gaza...mabomba yatapita wapi .....ni umbali kiasi gani.....
Acheni udini kwenye uhai wa watu.
Kwamba kajiua!?Fala wewe,Hamas ndio imemuua?
Una mavi kichwani udini uko wapi hapo?Acheni udini kwenye uhai wa watu.
Nani kapitisha hayo mabomba? Hamas.....Israel? Una maji mbaya wako....Umewahi sikia wapi?Yana pita kwenye ardhi za wapalestina zinazo kaliwa kwa mabavu.
Una mavi kichwani udini uko wapi hapo?
Sasa kwann Israel asiondoke kwenye ardhi za wapalestina akawa acha PA na hamas wajuane wenyewe?Unajua kwa nini Hamas ilitengana na PA ya Mahamoud Abbas....? Motives za Hamas is more than land....ni religious.....iko wazi....Hata ukiwapa Land....si mwisho...Hawataki Mayahudi hapo...Period. Direct fro Quran
Israe aondoke kwenye ardhi ya wapalestina ili amani ipatikane
Una uwezo mdogo wa kufikiri ngoja nikuache.Nani kapitisha hayo mabomba? Hamas.....Israel? Una maji mbaya wako....Umewahi sikia wapi?
Nani ana uwezo wa kuifuta Hamas?M.H.S.R.I.E.P...
Alafu kuna watu wanawatetea hawa mbwa Hamas...
Dawa ni kuwafuta hawa mbwa na ndugu zao wote...
unauhakika walitekwa na hamas ?Hivi wakati Yaser Arafat akiwa Kiongozi wa Palestine,Hamas walikuwa wanamuunga mkono au hapana?
Nauliza hivi Kwa sababu Nina hakika Serikali yetu ingepitia Iran ambako tuna mahusiano mazuri wao Iran wangewatafuta Washirika wao Hammas wangeqaachia Vijana Wetu.
Una uwezo mdogo wa kufikiri ngoja nikuache.
unauhakika walitekwa na hamas ?
unaonaje ukienda kutoa msaada huko ili muwamalizeM.H.S.R.I.E.P...
Alafu kuna watu wanawatetea hawa mbwa Hamas...
Dawa ni kuwafuta hawa mbwa na ndugu zao wote...
Wewe ni mdini tu mtu mwenye akili timamu kabisa ambaye haongozwi na hisia fulani hawezi tetea Hamas kwa kile walichokifanya tarehe 07/10/2023.Una mavi kichwani udini uko wapi hapo?
hukujibu nimekuuliza unauhakika walitekwa na hamasWalitekwa na Israel ili wauwe!!!!!!! Una akili kweli wewe.....?
Yana pita kwenye ardhi za wapalestina zinazo kaliwa kwa mabavu.
Mijinga inajipanga kuandamana kuiunga mkono Hama's wakatii watanzania wenzetu wakiuawa na HamasSerikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa masikitiko na huzuni imetangaza kifo cha Clemence Felix Mtenga, Kijana Mtanzania ambaye ni miongoni mwa Watanzania wawili ambao pamoja na raia wa Mataifa mengine walikuwa hawajulikani walipo tangu yaliyopotokea mapigano October 07, 2023 nchini Israel na katika maeneo ya Wapalestina hususani Gaza.
Taarifa iliyotolewa na Wizara haijasema chanzo cha kifo chake na Mji ambao amefia lakini imesema Clemence alikuwa ni miongoni mwa Vijana wa Kitanzania wapatao 260 waliokwenda nchini Israel kushiriki mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa vitendo chini ya Mpango wa Ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Israel.
Tayari Wizara imechukua hatua stahiki ikiwemo kuijulisha Familia na inaendelea kuwasiliana na Serikali ya Israel kuhakikisha kwamba taratibu za kurejesha mwili wa marehemu nchini kwa ajili ya mazishi zinakamilika kwa wakati.
Wizara imesema inaendelea kufuatilia taarifa za Mtanzania mwingine Joshua Mollel ambaye bado hajulikani alipo tangu yalipotokea mashambulizi hayo “Wizara inatoa pole kwa Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na Watanzania kwa ujumla kwa msiba huu
View attachment 2816839
hukujibu nimekuuliza unauhakika walitekwa na hamas