Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

Hakuna namna yoyote TZ ikatengeneza ushirikiano na magaidi. Kwakufanya ivyo tutakua tumejiambatanisha na magaidi ambayo hayafai. Gaidi tuliyenaye TZ🟢🟢 anatutosha hatuwezi kuongeza mengine
Hivi wakati Yaser Arafat akiwa Kiongozi wa Palestine,Hamas walikuwa wanamuunga mkono au hapana?

Nauliza hivi Kwa sababu Nina hakika Serikali yetu ingepitia Iran ambako tuna mahusiano mazuri wao Iran wangewatafuta Washirika wao Hammas wangeqaachia Vijana Wetu.
 
Mkuu uwezo wa kufikiri umenifanya nisome Hamas Charter....nisome kwa nini waliachana Mahamoud Abass.....Ni pale walipoingiza religious factor.....Huo ndio uwezo wangu mdogo....Nipe wako mkubwa wa kinyume na Charter ya Hamas...
Israel ugomvi kati ya hamas na Abas yeye una kuhusu nn ?
Kama Israel ingekuwa na nia kweli ya kutaka amani ingeondoka kwenye mipaka ya palestina inayo tambulika kimataifa ili tuone kama hao hamas wange wafuata na kuwashambulia.
 
Israel aiokoe Palestina kwa kuyaangamiza magaidi ya Hamas yanayofanya maisha ya wapalestina kuwa magumu.
yaani wewe ni kitumbua eti israel ikomboe P.L.O huo ni uongo tena sio uongo tu ni plus plus plus+++++++++++++++
 
Wewe ni mdini tu mtu mwenye akili timamu kabisa ambaye haongozwi na hisia fulani hawezi tetea Hamas kwa kile walichokifanya tarehe 07/10/2023.
Ww ambaye hauongozwi na hisia mbona ulikuwa una unga mkono mauaji ya wapalestina yaliyo fanyika kwa zaidi ya miaka 75 au wapalestina wao sio watu?
 
Israel ugomvi kati ya hamas na Abas yeye una kuhusu nn ?
Kama Israel ingekuwa na nia kweli ya kutaka amani ingeondoka kwenye mipaka ya palestina inayo tambulika kimataifa ili tuone kama hao hamas wange wafuata na kuwashambulia.
Je kama Israel wangewashambulia Hamas bila kutarijia na kuua watu wengi,Hamas wangevumilia na kusema tukae chini tujadiliane?
 
Ww ambaye hauongozwi na hisia mbona ulikuwa una unga mkono mauaji ya wapalestina yaliyo fanyika kwa zaidi ya miaka 75 au wapalestina wao sio watu?
Tunaenda na current situation ili kumaliza tofauti zetu na siyo kuwa na kinyongo kisichoisha.
 
Hii ni kupigania dini,inasikitisha mno.
Hawa watu hawawezi kukaa kwa amani na yeyote, hata kama wangebaki duniani pekeyao bado wangechinjana tu.
Ogopa sana watu wanaoabudu Majini.
Screenshot_20231017-090355_Quora.jpg
 
Nani ana uwezo wa kuifuta Hamas?

Mkuu Hamas ni ideology....ni ngumu kuifuta.....Ukisoma Charter ya Hamas is directed influenced from Quran.. Huwezi kufuta Boko Haram....na vikundi kama hivyo.....Hamas is direct influenced na Moslem Brotherhood.... Egypt mpaka leo wanahangaika nayo.....Huwezi kuua idea mkuu.....
 
Nani karuhusu yapite.......Mkuu ukiacha West Bank na Gaza.....Sehehemu nyingine zote hazina mgogoro wowote ule wa ugomvi....Rudia Historia.....Lakini Hamas wanaofuata Quuran......kila eneo ni lao....Hata Waarabu wanatambua uhalali wa kuwepo Israel....Labda Hamas na Iran.
Ndio maana nimesema kuwa una uwezo mdogo wa kufikiri, yaani uende kwenye nchi ya watu uikalie alafu useme hakuna mgogoro wowote?

Kutoka West bank, Jerusalem mashariki mpaka kwenye miji yote iliyoko mpakani mwa Gaza hayo yote ni maeneo ya wapalestina kwa mujibu wa mipaka inayo tambuliwa kimataifa.

Ngoja nikuelimishe hiyo miji ya mipakani iliyo shambuliwa na hamas yote hiyo ilikuwa ndo makazi ya wapalestina wanao ishi kwenye ukanda wa gaza kwa sasa ambao walifukuzwa kwa nguvu na Israel mwaka 1947 .
 
Je kama Israel wangewashambulia Hamas bila kutarijia na kuua watu wengi,Hamas wangevumilia na kusema tukae chini tujadiliane?
Chanzo cha hayo yote ni Israel kulikalia ardhi ya nchi isiyo yake bila yeye wenda hata hamas usingekuwepo duniani.
 
Tunaenda na current situation ili kumaliza tofauti zetu na siyo kuwa na kinyongo kisichoisha.
Hiyo Israel ndo ana kinyongo na ndio maana kila siku anawanganya wapalestina ardhi zao na kuwapatia wayahudi.
 
Ndio maana nimesema kuwa una uwezo mdogo wa kufikiri, yaani uende kwenye nchi ya watu uikalie alafu useme hakuna mgogoro wowote?

Kutoka West bank, Jerusalem mashariki mpaka kwenye miji yote iliyoko mpakani mwa Gaza hayo yote ni maeneo ya wapalestina kwa mujibu wa mipaka inayo tambuliwa kimataifa.

Ngoja nikuelimishe hiyo miji ya mipakani iliyo shambuliwa na hamas yote hiyo ilikuwa ndo makazi ya wapalestina wanao ishi kwenye ukanda wa gaza kwa sasa ambao walifukuzwa kwa nguvu na Israel mwaka 1947 .

Unaweza kuniwekea ramani za 1948 za UN.....nipe msimamo wa taifa la Isarel sasa hivi....Kuna sehemu umeniita mjinga! Uko tayari kuzjibizana na zuzu kama mimi.....Labda tuanzie before Ottoman Empire au baada ya Ottoman Empire .....labda utaniondoa uzuzu wangu!
 
Nani ana uwezo wa kuifuta Hamas?
Km upo hai utaona kama utakuja kukisikia tena hicho kikundi cha hamas ndani ya Gaza from now on....
Labda waje kwa jina lingine
 
Back
Top Bottom