WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Ukweli ni kwamba kwa mujibu wa taarifa sahihi zilizotolewa na vyombo mbalimbali vya habari duniani hao watu walitekwa na magaidi wa Hamas.hukujibu nimekuuliza unauhakika walitekwa na hamas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ni kwamba kwa mujibu wa taarifa sahihi zilizotolewa na vyombo mbalimbali vya habari duniani hao watu walitekwa na magaidi wa Hamas.hukujibu nimekuuliza unauhakika walitekwa na hamas
Mijinga inajipanga kuandamana kuiunga mkono Hama's wakatii watanzania wenzetu wakiuawa na Hamas
Hivi wakati Yaser Arafat akiwa Kiongozi wa Palestine,Hamas walikuwa wanamuunga mkono au hapana?
Nauliza hivi Kwa sababu Nina hakika Serikali yetu ingepitia Iran ambako tuna mahusiano mazuri wao Iran wangewatafuta Washirika wao Hammas wangeqaachia Vijana Wetu.
Ukweli ni kwamba kwa mujibu wa taarifa sahihi zilizotolewa na vyombo mbalimbali vya habari duniani hao watu walitekwa na magaidi wa Hamas.
Israel ugomvi kati ya hamas na Abas yeye una kuhusu nn ?Mkuu uwezo wa kufikiri umenifanya nisome Hamas Charter....nisome kwa nini waliachana Mahamoud Abass.....Ni pale walipoingiza religious factor.....Huo ndio uwezo wangu mdogo....Nipe wako mkubwa wa kinyume na Charter ya Hamas...
Inasikitisha kwa kweli.Mkuu ukishaingiza dini, akili za kufikiri huwa zinatiwa upofu!
yaani wewe ni kitumbua eti israel ikomboe P.L.O huo ni uongo tena sio uongo tu ni plus plus plus+++++++++++++++Israel aiokoe Palestina kwa kuyaangamiza magaidi ya Hamas yanayofanya maisha ya wapalestina kuwa magumu.
Israeli wamewakuta wapalestina hapo. Nimekwambia israeli imeundwa tarehe 14.05.1948Hivyo Hamas wakisema ni ardhi yao sawa....Israel wakisema ni Ardhi yao sio sawa, unatumia criteria ipi mkuu....! Tupe kigezo!
Ww ambaye hauongozwi na hisia mbona ulikuwa una unga mkono mauaji ya wapalestina yaliyo fanyika kwa zaidi ya miaka 75 au wapalestina wao sio watu?Wewe ni mdini tu mtu mwenye akili timamu kabisa ambaye haongozwi na hisia fulani hawezi tetea Hamas kwa kile walichokifanya tarehe 07/10/2023.
Je kama Israel wangewashambulia Hamas bila kutarijia na kuua watu wengi,Hamas wangevumilia na kusema tukae chini tujadiliane?Israel ugomvi kati ya hamas na Abas yeye una kuhusu nn ?
Kama Israel ingekuwa na nia kweli ya kutaka amani ingeondoka kwenye mipaka ya palestina inayo tambulika kimataifa ili tuone kama hao hamas wange wafuata na kuwashambulia.
Tunaenda na current situation ili kumaliza tofauti zetu na siyo kuwa na kinyongo kisichoisha.Ww ambaye hauongozwi na hisia mbona ulikuwa una unga mkono mauaji ya wapalestina yaliyo fanyika kwa zaidi ya miaka 75 au wapalestina wao sio watu?
Hawa watu hawawezi kukaa kwa amani na yeyote, hata kama wangebaki duniani pekeyao bado wangechinjana tu.Hii ni kupigania dini,inasikitisha mno.
Nani ana uwezo wa kuifuta Hamas?
Magaidi yasafishwe tu
Ndio maana nimesema kuwa una uwezo mdogo wa kufikiri, yaani uende kwenye nchi ya watu uikalie alafu useme hakuna mgogoro wowote?Nani karuhusu yapite.......Mkuu ukiacha West Bank na Gaza.....Sehehemu nyingine zote hazina mgogoro wowote ule wa ugomvi....Rudia Historia.....Lakini Hamas wanaofuata Quuran......kila eneo ni lao....Hata Waarabu wanatambua uhalali wa kuwepo Israel....Labda Hamas na Iran.
Chanzo cha hayo yote ni Israel kulikalia ardhi ya nchi isiyo yake bila yeye wenda hata hamas usingekuwepo duniani.Je kama Israel wangewashambulia Hamas bila kutarijia na kuua watu wengi,Hamas wangevumilia na kusema tukae chini tujadiliane?
Hiyo Israel ndo ana kinyongo na ndio maana kila siku anawanganya wapalestina ardhi zao na kuwapatia wayahudi.Tunaenda na current situation ili kumaliza tofauti zetu na siyo kuwa na kinyongo kisichoisha.
Ndio maana nimesema kuwa una uwezo mdogo wa kufikiri, yaani uende kwenye nchi ya watu uikalie alafu useme hakuna mgogoro wowote?
Kutoka West bank, Jerusalem mashariki mpaka kwenye miji yote iliyoko mpakani mwa Gaza hayo yote ni maeneo ya wapalestina kwa mujibu wa mipaka inayo tambuliwa kimataifa.
Ngoja nikuelimishe hiyo miji ya mipakani iliyo shambuliwa na hamas yote hiyo ilikuwa ndo makazi ya wapalestina wanao ishi kwenye ukanda wa gaza kwa sasa ambao walifukuzwa kwa nguvu na Israel mwaka 1947 .
Km upo hai utaona kama utakuja kukisikia tena hicho kikundi cha hamas ndani ya Gaza from now on....Nani ana uwezo wa kuifuta Hamas?