Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

Hamas ililenga kuua Wayahudi kukipiza Kisasi kama walikuwepo na wageni kwenye sherehe ni bahati mbaya Yao.

Ambush Huwa haikagui ID ,mambo ya maelezo ni mbele ya safari.Ndio maana nasema kama sio papara za Israel Kijana Wetu angepona maana Mpango ni kuachia wageni kasoro wayahudi na west hao hapana.
We kwenye vita Kila kitu kinaweza kitumika, hamasi watakua wamemtumia kama human shield ndo tabia zao
 
Ina bidi serikali iombeleze kifo cha kijana wetu , la sivyo serikali yetu inasapoti ugaidi
 
Hamas walaaniwe kwa kuuwa kijana mdogo ila Israel ibalikiwe kwa kuuwa vichanga acha unafiki wa kifala.
Nani alianza kumchokoza mwenzake? Huyo Mtanzania huo ugomvi wa Israel vs Palestina unamhusu nini hadi wamshikilie hadi afe?

Una uchungu wa Wapalestina kuliko hata mtanzania mwenzako. Shame on you.
 
Imewauma ya mtanzania, lakini ya waislamu kuuawa haiwaumi, wamama, watoto/njiti wanauawa ila roho zenu hazishtuki, kwahiyo mtanzania ana thamani kuliko ndugu zetu wapalestina sio!!! Mnakera sana
Wewe ni mpalestina?
 
Najaribu kusoma sielewi ulichoandika, hivi october 7 nani aliyerusha jiwe kwa mwenzie? Sie tunahusikaje na ugomvi wao hadi watuulie mwanatu?

Mwanetu wewe na nani!! Hivi wanavyouawa ndugu zetu waislamu haiwaumi sio! Ila ya mtanzania mmoja imewauma sio!! Walaumuni hao hao taifa teule
 
Hawa waarabu hawana maana. Ona sasa wamesababisha kijana mdogo wa kitanzania ameondoka duniani.
 
Inawezekana pia ameuawa kwa vile hakuwa muislam....na ndiyo maana wanao support Hamas humu hawaguswi na kifo chake
 
Mungu aipumuzishe roho yake pema peponi.

Inawezekana alikuwa anahudhuria tamasha lile Supernova na ameuwawa na Hamas waliposhambulia.

Sera ya Israel dhidi ya Palestina imekuwa siyo nzuri historically, lakini mashambulizi ya Hamas dhidi ya vijana waliokuwa kwenye burudani ya muziki ndani ya Israeli ni la kulaaniwa zaidi kwani ndilo limesababisha haya yanayoendelea sasa huko Gaza. Israel iliwahi kusema kuwa kila myahudi anayeuwawa na waarabu, wao watalipiza kwa kuuwa waarabu 15 kutokana na uwiano wa populanion yao. Kwa hiyo kabla vita haijapungua inaonekana kuwa lengo la Isareli ni kuua wapalestina zaidi ya 22,000; ina maana kuwa vita hapo Gaza bado ni mbichi sana
 
Nani alianza kumchokoza mwenzake? Huyo Mtanzania huo ugomvi wa Israel vs Palestina unamhusu nini hadi wamshikilie hadi afe?

Una uchungu wa Wapalestina kuliko hata mtanzania mwenzako. Shame on you.
Aliye anza kumchokoza mwenzake ni yule aliye kuja kwenye ardhi za watu akaziteka na kuwageuza wenye ardhi kuwa sawa na watumwa.

Kila binadamu ana thamani haijalishi ni kutoka taifa gani ana sitahili kutetewa pale anapo onewa.

Suala la kuuawa huyo kijana limeniumiza lakini haliwezi nifanya nifurahie mauaji ya watoto wa kipalestina.
 
Back
Top Bottom