Mmoja tu afaulu mtihani wa uwakala wa wachezaji wa FIFA, ni nani huyu?

Mmoja tu afaulu mtihani wa uwakala wa wachezaji wa FIFA, ni nani huyu?

Hahaha wako wengi kishenzi ambao hujifanya wanaujua mpira, huyu jamaa hua anajifanya wakala wa kimataifa na kuna wachezaji hua anapeleka nje..kumbe nae kataga?![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
shafii hajafanya,kafungiwa ,ila mkumbuke hy mitihani ni kila mwaka ,fifa agent tanzania ingia ktk tovuti ya tff ,utawaona
 
Back
Top Bottom