Mmoja wa Viongozi wa Coastal Union FC: Tayari 'tumeshaiuza' Mechi kwa Yanga SC na hii 'Mikwara' tunayowapiga 'tunazuga' tu

Samahani Mods tunaweza kupata usahihi wa akili za huyu mtoa mada kama ziko sawa kweli??
Nashauri kuwe na option za kupima akili kwa wanaJF kabla ya kujiunga ili kupunguza vichaa kama hawa.
Bingwa wa kupigwa BAN huyo,huenda Kuna jambo huwa limekaa tenge
 
Samahani Mods tunaweza kupata usahihi wa akili za huyu mtoa mada kama ziko sawa kweli??
Nashauri kuwe na option za kupima akili kwa wanaJF kabla ya kujiunga ili kupunguza vichaa kama hawa.
Kwel kaka
 
Msizani coastal Leo walikaza angalia ball possession isipokuwa kufungwa ni kufungwa tuu
 
Vipi KoloWizard walipewa bahasha ya pesa kiasi gani ?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na Simba je, wameingia kingi kununuliwa na YANGA kwa bei gani?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…