GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Farid Musa
2. Bakari Mwamnyeto
3. Feisal Salum Fei Toto
Hivyo nawaomba wachezaji wa Simba SC kama ikiwezekana wafukizwe sana moshi wa .... au wapakae mafuta ya nguruwe.
Na kwa wale wa benchi la ufundi (siyo wachezaji) nawaomba muda mwingi wawe wameshika au wameweka ndimu au malimao karibu nao.
Yanga SC wameshakamatwa kila kona na leo, wanafungwa na wakijitahidi mno basi ni sare/ suluhu tu.