GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wa makolo ni nani atavaa hirizi kuachana na Mgunda...???1. Farid Musa
2. Bakari Mwamnyeto
3. Feisal Salum Fei Toto
Hivyo nawaomba Wachezaji wa Simba SC kama ikiwezekana Wafukizwe sana Moshi wa Bangi au wapakae Mafuta ya Nguruwe.
Na kwa wale wa Benchi la Ufundi ( siyo Wachezaji ) nawaomba muda mwingi wawe wameshika au wameweka Ndimu au Malimao karibu nao.
Yanga SC wameshakamatwa kila Kona na leo Wanafungwa na wakijitahidi mno basi si Sare / Suluhu tu.
patachimbika,1. Farid Musa
2. Bakari Mwamnyeto
3. Feisal Salum Fei Toto
Hivyo nawaomba wachezaji wa Simba SC kama ikiwezekana wafukizwe sana moshi wa .... au wapakae mafuta ya nguruwe.
Na kwa wale wa benchi la ufundi (siyo wachezaji) nawaomba muda mwingi wawe wameshika au wameweka ndimu au malimao karibu nao.
Yanga SC wameshakamatwa kila kona na leo, wanafungwa na wakijitahidi mno basi ni sare/ suluhu tu.
imekuwa hirizi tena?kuke kufungwa yanga kumeishua wapi?1. Farid Musa
2. Bakari Mwamnyeto
3. Feisal Salum Fei Toto
Hivyo nawaomba wachezaji wa Simba SC kama ikiwezekana wafukizwe sana moshi wa .... au wapakae mafuta ya nguruwe.
Na kwa wale wa benchi la ufundi (siyo wachezaji) nawaomba muda mwingi wawe wameshika au wameweka ndimu au malimao karibu nao.
Yanga SC wameshakamatwa kila kona na leo, wanafungwa na wakijitahidi mno basi ni sare/ suluhu tu.
Aliyewatoboa hukumtaja hapo.1. Farid Musa