- Thread starter
- #21
Hivi wale wabakaji walipotambuliwa walienda wapiBaada ya kutambuliwa what next?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wale wabakaji walipotambuliwa walienda wapiBaada ya kutambuliwa what next?
Ile kesi ilikuwa na maslahi ya Kisiasa piaHivi wale wabakaji walipotambuliwa walienda wapi
mafwele si ametajwa na sativa?? amehojiwa?? polisi walishatoa tamko? kina soka aliyewapigia simu kuwaita kabla ya kutekwa njiani ni polisi, alishahojiwa?? pa kuanzia si polisi, MEDIA ya Tanzania imejaa washenzi tu! matukio mangapi hadi sasa polisi wanahusishwa lakini media inaogopa kuuliza..ilipaswa media kuripoti mambo haya kila siku hadi polisi watoe maelezo ya NINI wamefanya hadi sasa! Mzee Kibao ameuawa imetolewa order polisi wachunguze haraka, hadi sasa hakuna taarifa yoyote imetolewa! nadhani mjadala uwe WAJIBU WA MEDIA TANZANIA NI NINI KTK KUWALINDA RAIA NA WAO WENYEWE!Dah.... Kwahiyo mambo binafsi mtu anakodi maaskari kabisa. Maana SI wameshaanza kutambuliwa ni maaskari???
Polisi wanatakiwa watoe tamko kwa watumishi wake kutumika ndivyo sivyo
Eti uelewe watekaji wanalenga akina nani ? Hapo kazi yao haitakuwepo na haitafanyikaKwani huyu bwana Tarimo ni mwanaharakati? Au ameshawahi kusema vibaya kuhusu chama na serikali? Maana Sasa inatakiwa tuelewe watekaji wanalenga kina nani haswa!!!!?
Evarest tutamchapa mot... soon,!Kutoka mtandao wa X (Twitter)
1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza)
Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na alikuwa kombania B (B Coy)
Mwaka 2009 akaajiriwa na jeshi la polisi na urefu wake ndio uliombeba.
Mwaka 2021 aliumizwa akiwa ametoka kwenye moja ya kazi kama hizi mkoni Kilimanjaro
Akaenda kutibiwa hospitali ya Midowel iliyoko Mpakani, maili moja, Kibaha.
Tetesi ni kwamba, alikuwa sehemu ya timu iliyoenda kuwakamata walinzi wa WeMbo mkoani Arusha kipindi kile.
Huyu anaunda timu ya watu watano ambaye mmoja wake (namfahamu lakini simtaji hapa kwa kuwa si sehemu ya swala hili) Initials za majina yake ni E. K
Yeye hukaa pale uwanja wa ndege JKNIA akijicamouflage kama muuza maua.
2. Mwenye Kapelo tayari amefahamika kama Evarist. Pdf lake la "Know Your Client" lipo njiani.
View attachment 3151082
View attachment 3151154
View attachment 3151177
Nyie wazazi ndio mnampigia debe chura kiziwi.Wazazi tunaogopa.
Alishawahi kutajwa mkurugenzi wa usalama aliyepita Said massoro kuhusika na mauaji ya mtoto wa mchungaji mbarikiwa huko mbeya, tena kwa ushahidi wa maongezi ya simu na mtu aliyemtuma, MEDIA wanajifanya hawamsikii mbarikiwa akiongea! au media yote wanalipwa na serikali??? nani ni mtetezi wa raia km media ni mtetezi wa mambo maovu yanayofanywa na viongozi wenye wajibu wa kulinda raia??? unawezaje kuwa mwanahabari halafu ni mwoga???ulikwedaje huko kwenye uanahabari! MEDIA yetu IMEOZA! hilo ndio tatizo kubwa kuliko hata hawa watekaji!Baadhi ya Polisi na askari wenyewe wanafanya matukio ya hovyo, wamekuwa wabakaji wakubwa, wafiraji na majambazi watekaji na wauaji. Hakuna wa kutulinda, hakuna anayeaminika kwa sasa.
Aliyekaimishwa nafasi ya juu kuliko zote nchini alishasema hizi ni drama tu, itokee kijana wake awe abducted tuone kama atasema hizi ni drama tu.