Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
Kama umewahi kuangalia movie ya "Sicario" ya 2015 basi utakubaliana na mimi kuwa hawa "wasiojulikana" ni kitengo cha serikali maarufu kama "hit man" ni watumishi WA serikali na wana check number kabisa, hawa watu wapo tangu utawala wa Nyerere (rejea kitabu cha L. S. Mwijage "The Dark Side of Nyerere's Legacy) enzi hizo waliteka na kupoteza ila kwa umakini Sana na walengwa walikuwa "maadui wa nchi" kweli
Baada ya nchi ya Tanzania kuwa ya kihuni na kila mfumo kuwa wa kihuni na hasa ajira za undugu na vimemo basi kitengo hiki pia wakaingizwa wahuni na mauaji na utekaji vikawa sio tena "kwa kulinda nchi" ikawa ni kupiga dili na kulinda wanasiasa wajinga!