Tetesi: Mmoja wa Watekaji wa Mfanyabiashara Deogratius Tarimo ni huyu hapa...

Dah.... Kwahiyo mambo binafsi mtu anakodi maaskari kabisa. Maana SI wameshaanza kutambuliwa ni maaskari???
Polisi wanatakiwa watoe tamko kwa watumishi wake kutumika ndivyo sivyo
mafwele si ametajwa na sativa?? amehojiwa?? polisi walishatoa tamko? kina soka aliyewapigia simu kuwaita kabla ya kutekwa njiani ni polisi, alishahojiwa?? pa kuanzia si polisi, MEDIA ya Tanzania imejaa washenzi tu! matukio mangapi hadi sasa polisi wanahusishwa lakini media inaogopa kuuliza..ilipaswa media kuripoti mambo haya kila siku hadi polisi watoe maelezo ya NINI wamefanya hadi sasa! Mzee Kibao ameuawa imetolewa order polisi wachunguze haraka, hadi sasa hakuna taarifa yoyote imetolewa! nadhani mjadala uwe WAJIBU WA MEDIA TANZANIA NI NINI KTK KUWALINDA RAIA NA WAO WENYEWE!
 
Hatimaye wasiojulikana wajulikana
 
Anaandika Detective wa kujitegemea, #FortunatusBuyoye katika ukurasa wake wa X (Twitter).
_________
Huyo jamaa tall aliyevaa raba na shati la mistari anafahamika kwa jina la utani kama NYANG'AU. Amepata mafunzo ya kijeshi JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza). Alikuwa kombania B (B Coy). Mwaka 2009 akaajiriwa "kitengo" na urefu wake ndio uliombeba.

Mwaka 2021 aliumizwa akiwa ametoka kwenye moja ya kazi kama hizi mkoni Kilimanjaro. Akaenda kutibiwa hospitali ya Midowel iliyoko Mpakani, maili moja, Kibaha. Inadaiwa alikuwa sehemu ya timu iliyoenda kuwakamata walinzi wa "Chairman" mkoani Arusha kipindi kile.

Huyu Nyang'au anaunda timu (task force) ya watu watano wanaofanya kazi hizi. Mmoja wao namfahamu vizuri lakini simtaji hapa kwa sababu hakuwa sehemu ya swala hili la Kiluvya. Lakini Initials za majina yake ni E.K.

Nyang'au hukaa pale uwanja wa ndege JKNIA karibu na shule ya msingi Minazi Mirefu, akijifanya kuwa ni muuza maua (camouflage strategy). Nimeambatanisha picha za Nyang'au akiwa JKT Oljoro na akiwa mtaani. Mwenye Kapelo anaitwa Evarist. Pdf lake la "Know Your Client" lipo njiani.!
 

Attachments

  • 1731484377993.png
    760 KB · Views: 2
Kwani huyu bwana Tarimo ni mwanaharakati? Au ameshawahi kusema vibaya kuhusu chama na serikali? Maana Sasa inatakiwa tuelewe watekaji wanalenga kina nani haswa!!!!?
Eti uelewe watekaji wanalenga akina nani ? Hapo kazi yao haitakuwepo na haitafanyika
 
Evarest tutamchapa mot... soon,!
Tupeni masaa machache
 
Baadhi ya Polisi na askari wenyewe wanafanya matukio ya hovyo, wamekuwa wabakaji wakubwa, wafiraji na majambazi watekaji na wauaji. Hakuna wa kutulinda, hakuna anayeaminika kwa sasa.

Aliyekaimishwa nafasi ya juu kuliko zote nchini alishasema hizi ni drama tu, itokee kijana wake awe abducted tuone kama atasema hizi ni drama tu.
 
Alishawahi kutajwa mkurugenzi wa usalama aliyepita Said massoro kuhusika na mauaji ya mtoto wa mchungaji mbarikiwa huko mbeya, tena kwa ushahidi wa maongezi ya simu na mtu aliyemtuma, MEDIA wanajifanya hawamsikii mbarikiwa akiongea! au media yote wanalipwa na serikali??? nani ni mtetezi wa raia km media ni mtetezi wa mambo maovu yanayofanywa na viongozi wenye wajibu wa kulinda raia??? unawezaje kuwa mwanahabari halafu ni mwoga???ulikwedaje huko kwenye uanahabari! MEDIA yetu IMEOZA! hilo ndio tatizo kubwa kuliko hata hawa watekaji!
 
vyombo vyetu vya usalama mko wapi? hao watu wanawachafulia taswira yenu ktk jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…