Tetesi: Mmoja wa Watekaji wa Mfanyabiashara Deogratius Tarimo ni huyu hapa...

Kama umewahi kuangalia movie ya "Sicario" ya 2015 basi utakubaliana na mimi kuwa hawa "wasiojulikana" ni kitengo cha serikali maarufu kama "hit man" ni watumishi WA serikali na wana check number kabisa, hawa watu wapo tangu utawala wa Nyerere (rejea kitabu cha L. S. Mwijage "The Dark Side of Nyerere's Legacy) enzi hizo waliteka na kupoteza ila kwa umakini Sana na walengwa walikuwa "maadui wa nchi" kweli

Baada ya nchi ya Tanzania kuwa ya kihuni na kila mfumo kuwa wa kihuni na hasa ajira za undugu na vimemo basi kitengo hiki pia wakaingizwa wahuni na mauaji na utekaji vikawa sio tena "kwa kulinda nchi" ikawa ni kupiga dili na kulinda wanasiasa wajinga!
 
Huyu kenge anaonekana bangi ni kama chakula tu kwake.
 
Kwaiyo kama watekaji wametoka kitego maanayake hamna kesi hapo.


Ishu za Bwana kheri kuibiwa mali yake zitaishia kwa Bwana kheri mwenyewe na yote yatakuwa kheri.
 
Jeshi la ovyo linafanya vitu vya ovyo ila Toka aingie Wambura naona mambo ya ovyo yamezidi ndani ya jeshi
 
Naomba nikusahihishe mkuu,ni “SICARIO”
 
inashangaza sana mtu kufanya shughuli km hizi hapa duniani yaani km navyowashangaa mashoga,dada powa kazi za ajabu ajabu,yaani kazi yako wewe kutumwa kuteka watu na kwenda kuwaua cha ajabu zaidi watu wanakubaini kwamba wewe ni fala mmoja tu mpk ulikotoka wanakujua
 
Ni nchi ya wapumbavu tu ndio inaweza kupeleka motion bungeni kuweka amnesty ya kundi halifahamiki kwa majina na idadi, wafanye uovu..ubakaji, wizi, utekaji na uuwaji halafu walindwe na sheria..maendeleo ya teknolojia yamerahisisha sana kubaini uovu wa aina nyingi unaofanyika hata kwa kificho, na hivyo km wapo watu au mtu wanahatarisha usalama wa nchi ni rahisi kuwabaini na sheria kuchukua mkondo wake na si kuruhusu sheria ya kulinda watu ndani ya serikali wafanye wanavyotaka bila kulazimika kufuata sheria..hata kuua na wasichukuliwe hatua! matukio ya utekaji kama haya ni matokeo ya sheria hiyo iliyopitishwa bungeni mwaka jana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…