TANZIA Mmoja ya wamiliki wa mabasi ya Sumry, Humud Sumry afariki dunia

Kwa hiyo hata waliofariki kwa malaria na magonjwa yasiyoambukiza mtajumlisha kupata idadi?
 
Hivi kwa nini mkuu hiyo uviko inawaonea sana vibopa,au ina wivu nao,mbona makondakta wa mabasi kila siku wapo kwenye risk hatujawahi kuhudhuria mazishi yao kwa vifo vilivyosababishwa na changamoto??
Wanatembea kwa magari,,hawana mazoezi,wengi wako affected na sukari na Bp
 
Ila Sumry aliwavumilia sana watanzania aliowaajiri kwenye mabasi. Yani walikuwa wanamuibia sana. Acheni tu Mo awe mkali mmatumbi ukimchekea chekea mmatumbi akikuzoea anakurukia hadi mabegani.
Wameposti picha ya Salum Sumry, aliyefariki ni Humud
 
2019-2021 Matajiri wengi wamefariki.
Pole kwa familia,marafiki . Pole kwa uchumi wa nchi
True wengi kinomaa au huu ugonjwa ndio unachagua hao???! Yaani matajiri kibao yani
 
Mbona anazikwa chap chap namna hiyo.Hata ndugu wa mbali hawajafika wote.ni kama kuna mtu anataka kumaliza utata flan hiv
Hapo ndipo waislam huniachaga nashangaa yaani chap chap wanafukia tu???ndio maana unaweza kuulizia mtu unaambiwa aliishakufaga kitambo mbaka unashangaa na maswali unajiuliza
 
Mbona anazikwa chap chap namna hiyo.Hata ndugu wa mbali hawajafika wote.ni kama kuna mtu anataka kumaliza utata flan hiv
Kwa desturi zetu hata ukifa saa nne usiku, basi usiku huo huo inabid uzikwe. Ndio maana nchi za Kiarab makaburi huwa yapo wazi kama reserve.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…