Mmoja ya watu ambao wataiua CHADEMA ni Godbless Lema

Lema huwa hana akili ni overrated tu!
Namchukulia sawa na mcheza mpira tahaira asiyejua goli wa timu yake na apatapo mpira anapiga popote tu!
 
Miaka michache aliyokaa Ughaibuni kumempa 'cultural shock' hivyo kwa sasa yuko 'out of touch with reality' na siasa za Bongo..
 
Na wewe mgombea foolish
Sina muda mchafu na mauchaguzi yenu majinga mmejaa tele masikini wa akili na mali,Mimi ninachokisimamia ni ukweli kwamba masikini mkiambiwa ukweli mnachukia badala ya kujipa muda wa kufikiri na mbaya zaidi mliaminishwa umasikini ni sifa nyie wapumbafu mkalibeba kama lilivyo!!
 
Wewe ndio Mjinga,na utaongozwa na hao waliochaguliwa na wajinga na utasanda.
 
Wewe ndio Mjinga,na utaongozwa na hao waliochaguliwa na wajinga na utasanda.
Ndiyo maana nikasema wewe ni foolish to highest level ntasanda kwa lipi mie sihusiani hata chembe na siasa zenu za mitaroni huko hata ungeongoza wewe na upumbafu wako kulingana na shughuri zangu sipati athari yeyote kiazi wewe
 
Eti huhusiani unless hauko Tanzania.
Una akili ndogo tena za kijinga.
 
Lema ni lopo lopo sana, afungwe mdomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…