Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Naongea na wazee wenzangu Leo, let's say hakuna tatizo nyumbani mko powa.
Mama ameanza tabia za kulala na Watoto na hakuna ugomvi wowote.
Na sometimes una vidume vikubwa kuna wakati mama anaona hah Leo jumamosi kuna wedding somewhere natoka na first born wangu wa kiume baba atasubiri nyumbani au akale vyombo vyake somewhere au whatever.
Kwanza tuelewane hapa sizungumzii usaliti au uchepukaji nataka tujenge familia haya nimeyashuhudia nikiwa Mdogo kaka yetu mkubwa alikuwa anaenda out na mama yetu kwenye special occasion na Mzee wangu Mungu ampumzishe Kwa amani alikuwa hapendi mitoko niliambulia mtoko mmoja Sea cliff hotel siku wajapan wanakabidhi soko la ferry my mother alikuwa kwenye official delegation Mimi ndio nikawa Mr wake siku hiyo.
Hivyo wazee wenzangu Leo jumamosi ukiagwa na mkeo kuna party ya kazini anatoka na mtoto wako mkubwa wa kiume utapokeaje? Amekudharau? Au utafurahia funguria mbwa na wewe upate kuchelewa kurudi nyumbani?
N:b, hii ni thread ya Kujenga familia naomba vijana wetu wadogo ikiwapendeza mbaki kuwa wasomaji tu.