MMU Leo tuongee watu wazima vijana wajifunze kutoka kwetu, maana jukwaa limejaa utoto mwingi.

Mimi ninaona ni ufahari kwa mama kwenda na kijana wake anakuwa anajivunia uwepo wake na ana jinsia ya kiume kama wewe,ndani mpo wanaume 2au 3 ukiwepo na wewe baba yake . Kijana anakuwa anamuwakilisha baba, mwanaune ni mwanaume tu hata akiwa mdogo nafasi yake kuwa kama mlinzi kwa mzazi au dada anaiwakilisha vyema.
 
Ukweli halisi watu awapo seriously kabisa
Ukweli Jf ya zamani sio ya siku hizi, yaani zamani mtu alikuwa akiomba msaada wa tatizo la kitu fulani anapewa bila hiyana ila siku hizi watu wamekuwa wabinafsi penye ushauri wa maaana mara wanaleta maswala ya Tafta hera, au one man down,
Yaani imekuwa vurugu vurugu, haina tofauti na facebook
 
Mzee mwenzangu Matola yaonyesha unamashaka... na mama atoke na kijana mkubwa...
Mswali mtoto wangu huyu au la???
Kamanda mpaka this time ukiwa na mashaka na mwanamke ni Kwa nini uishi naye?

Sina ugonjwa huo kwakweli, nilishapita uko muda tu.
 
Mara nyingi Afrika Tunaoa Wanawake tuliowazidi saana Umri, wakati mwingine unamzidi mwenzio hata miaka 10. Sasa miaka 20 ya mwanzo MAMA (wife) atakua proud kutoka na Baba kila mahali na anapenda kila mtu ajue au aone jinsi gani amebahatika kuwa na Mwanaume shupavu (protective), handsome (mvuto wa kuwa mwanaume sio Uzuri wa sura) kwa kifupi how far she is proud of U, Kwa bahati mbaya sana huo mvuto na vyote ni only for first 20yrs
Utakapohit 50 yrs, mzee baba unaanza kuonekana ‘MZEEE..’ hauvutii saana machoni pake kama mwanzo, wakati huo yeye yupo less than 50 (40s) ambapo mwanamke kwa umri huu ‘anakuwa veeery perfect’ (wakubwa mtanielewa hapa) karibia kila idara, kwahyo litapokuja swala la mitoko, presentation somewhr atahitaji aende au atokee na ‘A man [emoji1434]’ na “Mzee” ambaye ni wewe sasa[emoji28], kwhyo ni bora atoke na ki-tenager chake ambacho ndo kinabalehe balehe Kuliko wewe isije akashangaika huko kwmba mbona mume wake ni mzee sana kuliko yeye na mara nyingi atapenda kutoka na yule anaesemekana kufanana nae.
Katika Umri huo ndio watu hujutia Kwanini niliolewa na mtu mkubwa zaidi au kwann nilioa kabinti kadogo vile ingawa mara nyingi wanaume hawajutii.
MY TAKE: Calm down maan (kwa sauti ya steve harvey[emoji28]) there’s no cheating nor disrespect its just a matter of comfortability before the audience for her, you just chill home take a glass of Whisky enjoy your Tv show/ movie au soma kitabu chako cha How to get rich at 50[emoji23]
Usitoke kisa kakuachia uhuru, wanaume hatushindani baki home na akirudi akukute na mpokee kwa furaha na Amani. Sisi tunatoka kila siku tunakunywa kila siku na mengine mengi tunafanya behind their back (Wanaume mnajua achana na hivi vitoto vya tafuta hela)
[emoji1635][emoji1420][emoji1635] Cheers Maan!!
 
Mara nyingi huwa ni watu walio kwenye circle yenu. They know you na wewe unawajua.
Kwa hiyo, suala la kwamba utaonekana kituko sidhani kama Lina mashiko sana.
Some outings are just not as appealing to me. Harusi, kipaimara and the likes. Kwa hiyo aende tu hata peke yake.
Mwanamke akitaka kuchepuka huwezi kumzuia na akitaka usijue huwezi kujua. Usiwaze hilo, halitakusaidia kimaisha.
 
Kuna watu wanasema usimwamini Partner wako, this is bullshit, unawezaje kulala na MTU kitanda kimoja na Bado kuwe na SIRI zako? Once you entertain hizi nonsense mtajenga family mbaya sana! If you want to be trusted be honest.....sasa you don't play your part ila unataka mwanamke akunyenyekee. Aagh tuishie hapa nimeshaitwa,.....
Big point kabisa
 
Naongea na wazee wenzangu Leo, let's say hakuna tatizo nyumbani mko powa.

Mama ameanza tabia za kulala na Watoto na hakuna ugomvi wowote.

Na sometimes una vidume vikubwa kuna wakati mama anaona hah Leo jumamosi kuna wedding somewhere natoka na first born wangu wa kiume baba atasubiri nyumbani au akale vyombo vyake somewhere au whatever.

Kwanza tuelewane hapa sizungumzii usaliti au uchepukaji nataka tujenge familia haya nimeyashuhudia nikiwa Mdogo kaka yetu mkubwa alikuwa anaenda out na mama yetu kwenye special occasion na Mzee wangu Mungu ampumzishe Kwa amani alikuwa hapendi mitoko niliambulia mtoko mmoja Sea cliff hotel siku wajapan wanakabidhi soko la ferry my mother alikuwa kwenye official delegation Mimi ndio nikawa Mr wake siku hiyo.

Hivyo wazee wenzangu Leo jumamosi ukiagwa na mkeo kuna party ya kazini anatoka na mtoto wako mkubwa wa kiume utapokeaje? Amekudharau? Au utafurahia funguria mbwa na wewe upate kuchelewa kurudi nyumbani?

N:b, hii ni thread ya Kujenga familia naomba vijana wetu wadogo ikiwapendeza mbaki kuwa wasomaji tu.
Sasa mama anatoka na first borne wako we unaona wivu wa nini? Wakati kijana anakuwakilisha vyema kabisa 😂😂😂 tena unajua kabisa usalama upo maana hawezi kwenda kukusaliti bila kamanda kuja kukumegea siri.

Mimi kama mzee nasema wao waende tu tena nikiwa jf ndo stakagi kero kabisa.
 
Mara nyingi Afrika Tunaoa Wanawake tuliowazidi saana Umri, wakati mwingine unamzidi mwenzio hata miaka 10. Sasa miaka 20 ya mwanzo MAMA (wife) atakua proud kutoka na Baba kila mahali na anapenda kila mtu ajue au aone jinsi gani amebahatika kuwa na Mwanaume shupavu (protective), handsome (mvuto wa kuwa mwanaume sio Uzuri wa sura) kwa kifupi how far she is proud of U, Kwa bahati mbaya sana huo mvuto na vyote ni only for first 20yrs
Utakapohit 50 yrs, mzee baba unaanza kuonekana ‘MZEEE..’ hauvutii saana machoni pake kama mwanzo, wakati huo yeye yupo less than 50 (40s) ambapo mwanamke kwa umri huu ‘anakuwa veeery perfect’ (wakubwa mtanielewa hapa) karibia kila idara, kwahyo litapokuja swala la mitoko, presentation somewhr atahitaji aende au atokee na ‘A man [emoji1434]’ na “Mzee” ambaye ni wewe sasa[emoji28], kwhyo ni bora atoke na ki-tenager chake ambacho ndo kinabalehe balehe Kuliko wewe isije akashangaika huko kwmba mbona mume wake ni mzee sana kuliko yeye na mara nyingi atapenda kutoka na yule anaesemekana kufanana nae.
Katika Umri huo ndio watu hujutia Kwanini niliolewa na mtu mkubwa zaidi au kwann nilioa kabinti kadogo vile ingawa mara nyingi wanaume hawajutii.
MY TAKE: Calm down maan (kwa sauti ya steve harvey[emoji28]) there’s no cheating nor disrespect its just a matter of comfortability before the audience for her, you just chill home take a glass of Whisky enjoy your Tv show/ movie au soma kitabu chako cha How to get rich at 50[emoji23]
Usitoke kisa kakuachia uhuru, wanaume hatushindani baki home na akirudi akukute na mpokee kwa furaha na Amani. Sisi tunatoka kila siku tunakunywa kila siku na mengine mengi tunafanya behind their back (Wanaume mnajua achana na hivi vitoto vya tafuta hela)
[emoji1635][emoji1420][emoji1635] Cheers Maan!!
Cheers [emoji482][emoji482][emoji1635][emoji1635][emoji482][emoji1635] mzeee
Nmekuelewa sana
 
Sasa mama anatoka na first borne wako we unaona wivu wa nini? Wakati kijana anakuwakilisha vyema kabisa [emoji23][emoji23][emoji23] tena unajua kabisa usalama upo maana hawezi kwenda kukusaliti bila kamanda kuja kukumegea siri.

Mimi kama mzee nasema wao waende tu tena nikiwa jf ndo stakagi kero kabisa.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] yani upo kama mm kabisa
Yani waende tu alaf unatulia zako na jf
Ukisikia kitu unafungia tu fridge
 
Sasa mama anatoka na first borne wako we unaona wivu wa nini? Wakati kijana anakuwakilisha vyema kabisa 😂😂😂 tena unajua kabisa usalama upo maana hawezi kwenda kukusaliti bila kamanda kuja kukumegea siri.

Mimi kama mzee nasema wao waende tu tena nikiwa jf ndo stakagi kero kabisa.
Hakuna sehemu nimesema wivu, tunatowa semina elekezi how to understand woman.

Kwani akienda kitchen party mtaenda wote?

Kuna mfululizo wa thread humu unaonesha wazi vijana hawajaandaliwa wana kila aina ya malalamiko kuwakalamikia wanawake Mara Mke wangu hivi Mara Mke wangu vile, Sasa tusitowe vitip muhimu Mara moja moja?
 
Maadam amechagua kwenda kwenye shughuli na Mwanaye binafsi sioni kama kuna tatizo.

Nimenotice wamama hupenda kutoka na Vijana wao wa Kiume kwa ile dhana ya kujihakikishia Usalama, kuwaringishia wamama wenzao kuwa amekuza, na nyakati nyingine kwa malengo ya kuwa interact vijana wao na Jamii, kama amekaribia umri wa kuoa hiyo pia ni fursa wamama huitumia kumsoma kijana wake. Maana kwenye shughuli kunakuwa na aina mbali mbali za sample. So wamama huitumia kumsoma Kijana wake ana mwelekeo gani...

Kama Faza hausi hili Jambo nitalibariki kabisa. Sintakuwa na shida nalo.

Mapendo,
TANMO.
 
Back
Top Bottom