"MMU Misses you Sooo Much"

Shem umeanza lini kuwasikiliza wagonjwa wa Mirembe walioko likizoni?............ Of ooooool ze pipo, mie na mai homii twaweza toroka na vikreti kazaa vya bia wakati tuna komplimentare ya kujisevia Biya idadi tunayotaka pale TBL............. Isitoshe haya mahela yaliyojaa mifukoni ambayo hayana kazi tungeshindwa kujinunulia mabia ya kutosha mpaka tukasarandie kwenye kasherehe ka Maskini kalikokuwa na vikreti 30 tu za bia?

Mwambie atutake razi!
 
Shem hebu do the needful "copy na kupaste hii kitu" for she deserves it... itakua a birthday na a "Welcom back thread"

Darling shem I am impressed na huo ufundi wako... dakika ngapi umetomia ku compose?? Khaaa!! Hii HATARI sasa...

Shem wangu Ashadii,
Acha wako usanii,
Wajua zangu bidii,
Kwenye yetu hii fani?

Nawe nitakuimbia,
tena kukushangilia,
Nyimbo nitakutungia,
Siku yako ikifika.

Najiweka ahadini,
Kumbuka ahadi deni,
Na tujiweke duani,
Mola na atuwezeshe.
 
Naona sasa umeelewa why this useful thread iliianzwa hali wewe upo "flat"...lol... Maana hii habari ilinipa stress na unajua the way uvumi wa uongo husambaa... Usiwe na wasi... Lawyer Klorokwini analisimamia hili suala na kaahidi ku clear majina yenu woote (kasoro Kimey).... Hivo siio mda Finest itabidi aombe radhi....lol
 
Afadhali daaaah nimeogopa huu mwaka unakwishaje tena........BTW miss u ODM
 
Shem wangu Ashadii,
Acha wako usanii,
Wajua zangu bidii,
Kwenye yetu hii fani?

Nawe nitakuimbia,
tena kukushangilia,
Nyimbo nitakutungia,
Siku yako ikifika.

Najiweka ahadini,
Kumbuka ahadi deni,
Na tujiweke duani,
Mola na atuwezeshe.

Pamoja na kusema kua blue imenitia wasi wasi...lol.. Mimi nafaili hii post for future reference.... Mpaka i wish nitunge uongo kua birthday yangu kesho hali ilipita siku nyingi... BUT najua Mvumilivu hula mbivu... Asante Shem wangu wa ukweli....
 
Hahahaha.......shem bana! hiyo blue isikutishe ni mambo ya vina tu bana!
 
Rafiki asante sana, ninafuraha kuwa na rafiki kama wewe. Mungu akubariki pia.
With lots of love
 
Shem hebu do the needful "copy na kupaste hii kitu" for she deserves it... itakua a birthday na a "Welcom back thread"

Darling shem I am impressed na huo ufundi wako... dakika ngapi umetomia ku compose?? Khaaa!! Hii HATARI sasa...

Yaani huyu shemu wako ni kiboko. Thank you too AshaDii
 
haya wajameni...!

huyo carmel anawakilishwa na mamndenyi hapa jamvini.....!

Dah!!! (ujue kua Mamndenyi makazi yake ni Chit Chat akigawa upendo mara kwa mara kwa kumwaga "Likes" thread nzima)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…