Hapa ubongo umekosa mawasiliano juu yako mama.
Ila akumbuke sio wote wasemao bwana bwana watauona ufalme wa mbingu....Dogo naona umepata mchumba mlokole navyo kusoma katikati ya mistari dah.
Do you have any option?
Lazima unipende
my milk is very standing
we mwache,akigeuziwa kibao ndo atajua jiji!
Mtoto akililia wembe.....Huyo SL anataka kunipeperushia kiloba cha asali nimetua mabegi ya mapenzi kwa kongosho.
Khaaaa mama yangu siamini macho yangu lazizi.
Mtoto akililia wembe.....
eliza wa tegeta ni She bana!
Na wewe unataka kuhamia basi kubwa?
Lol.... Ngastuka na machale kunidesa wewe utakuwa mzima wa afya.karibu,natangulia buibui,usisahau kitendea kazi(of course just in case si unajua hata kwenye ndege huwa kuna kisanduku cha oxygen?).
Huyo SL anataka kunipeperushia kiloba cha asali nimetua mabegi ya mapenzi kwa kongosho.
Fungasha asee....Hapa ngoza nisikilize ushauri wa wakubwa nabeba mabegi yangu ya mapenzi.
mmmmmhhhh,kongosho umeyasikia hayo?
kongosho hapo ndo unanimalizaga!
Lol...kongosho siku ukijitoa jf mie pia najitoa.Ulishamuona mtu analilia kun.y.o.n.g.wa?
Ndo huyu
So ukaona unaweza kupumzikia kwa kongosho eeh? Usijesema haukuonywa!