We nae, mambo ya Namnani unayaleta jf
ya PM unapeleka bar
jamani vizee vya mjini ukivionjesha vinaanza kupiga king'ora
kongosho unaendaga jackies? Mmmmmhhhhh tusha collide basi hapo,nice place,napenda kuku wa kuchoma wa hapo.
na mimi naomba namba yako plizzz
nambie Kipipi ......unaukumbuka mziki wa eliza wa tegeta alivyomwaga upupu?
na mimi naomba namba yako plizzz
Utakaa sana!Huyu dem ni noma haambiliki!
ushajaribu kupata namba yake kipipi?
kisu kiligusa mfupa siku hiyo maana mlilalama mpaka basi.
Mautam yanawadatisha hao wazee!
Dem??? Since when???
Tafadhali Eiyer........tafadhali!!!!
Dem??? Since when???
Tafadhali Eiyer........tafadhali!!!!
unantega?