MMU thread ya kufungia mwaka

MMU thread ya kufungia mwaka

Ha ha ha, mie napenda nyama choma na ugali
nikiga na castle light zangu 2 swaafi kabisa

kongosho unaendaga jackies? Mmmmmhhhhh tusha collide basi hapo,nice place,napenda kuku wa kuchoma wa hapo.
 
Usijali, na uwezo wa kumfanyia mtu upasuaji bila nusu kaputi
na wala asisikie maumivu
sembuse ugumu wa kujitakia?
Hata kama una tight jeans moja
nina suluhisho
na hela ya kunipa utaipata
kongosho!!!!
 
We nae, mambo ya Namnani unayaleta jf
ya PM unapeleka bar

jamani vizee vya mjini ukivionjesha vinaanza kupiga king'ora
kongosho! Nshakwambia mi joka la kibisa sing'ati,ebo! Sasa haya ya kuonjeshwa yanatoka wapi?
 
Dem??? Since when???
Tafadhali Eiyer........tafadhali!!!!

Eiyer sasa na wewe umelikoroga,humu mmu hawa wabeijing ukiwaita mademu watakutahiri bila anasthesia,shauri lako.
samahani Kipipi naomba radhi kwa niaba ya Eiyer,plizzzz!
 
Back
Top Bottom