MMU thread ya kufungia mwaka

We kweli muhaya kha???

umesahau tena shemeji zako?henken ndo national drink ya wahaya bana,sisi tunakunywa ile kitu imelipiwa import duty,haya mambo ya bia za kusambaziwa kweli mascania tunawaachia kina kaizer na aspirin.
 
Hauji kul;a?
Mie niko hapa
Nina kichwa cha pembe tatu

nakuja,niwekee kidogo,ukimwona former miss tanzania mmoja ambae anapenda kuja hapo (name withheld) mwambie tajiri bishanga anamsalimia na yuko bize bandarini ana clear li S600 lake,brand new from stutgart.
 
umesahau tena shemeji zako?henken ndo national drink ya wahaya bana,sisi tunakunywa ile kitu imelipiwa import duty,haya mambo ya bia za kusambaziwa kweli mascania tunawaachia kina kaizer na aspirin.

Bepari la kihaya ndani ya nyumba halafu una kesi ya kujibu ujue
 
msiniache plizz maana nahisi kichwa kuzunguka,sijui kwa vile nam miss eliza wa tegeta a.k.a kiboko ya wamama wa mmu?

Huyo Eliza wa T alikuaptia nini mwenzetu maana huishii kumtaja taja humu ndani au ndio hutaki asahaulike????
 
Huyo Eliza wa T alikuaptia nini mwenzetu maana huishii kumtaja taja humu ndani au ndio hutaki asahaulike????

eliza wa Tegeta a.k.a kiboko ya wadada wa mmu,kwani mna hamu naye,akitokezea kichwa tu wote mnaingia mvunguni!
 
Uzi wako Bishanga wa wanaume ndio tulivyo bana. Ulileta sana ubishi mpaka Babu karibu povu limtoke kuubishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…