Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
didiz si pale opposite na jackies? Nitakuja jioni,ukiona mtu analamba henken kwa fujo basi jua ni mie kibosile wa kihaya.
Hauji kul;a?
Mie niko hapa
Nina kichwa cha pembe tatu
umesahau tena shemeji zako?henken ndo national drink ya wahaya bana,sisi tunakunywa ile kitu imelipiwa import duty,haya mambo ya bia za kusambaziwa kweli mascania tunawaachia kina kaizer na aspirin.
Amani ya bwana iwe pamoja nawe....Bepari la kihaya ndani ya nyumba halafu una kesi ya kujibu ujue
msiniache plizz maana nahisi kichwa kuzunguka,sijui kwa vile nam miss eliza wa tegeta a.k.a kiboko ya wamama wa mmu?
anafanywaje?
Anasogezwa
Shemeji hajambo?
hii thread inaelekea kufunga mwaka. Loh!
Acha uchokozi basi na wewe bana
Namjulia khali tu umemwona wifi yako sweetlady?