Sio najishtukia...kuna PMs nilirushiwa kuulizwa. Siwezi kujishuku na kitu ambacho sihusiani nacho. Niliishia kuangua kicheko tu.
Ngoja nikuulize...hivi wewe mtu akikujia na kusema anadhani wewe ndo NN hutacheka?
Naomba nijiongeze kwenye list ila sasa itabidi mkiona mtu amevaa bugaluu na raizoni(maana mm ni mfupi sanaaa)mnisemeshe,mm natembea tu sihitaji hata bajaji. Nikivaa vingine mtanifananisha na wadada wa pale.
mamaT,in real life unadhani nyaniN ni nani? mi nahisi ni julio kocha wa kilimanjaro stars.
mamaT,in real life unadhani nyaniN ni nani? mi nahisi ni julio kocha wa kilimanjaro stars.
Hahahaaaa sitakii mie nisije pelekwa mahakamani wakati sina hela ya kumlipa lawyer! Nishawahi kukaa nae mara 2 ila yy hawezi kunijua hata akatambike!
Khaaa! Yale mapigo hufanani nayo asee, yule kapinda mbaya...kweli walimwengu wabaya sana.Kuna watu walizusha eti mi ndo Eliza wa Tegeta....teh teh teh....walimwengu bana daaah.
Khaaa! Yale mapigo hufanani nayo asee, yule kapinda mbaya...kweli walimwengu wabaya sana.
ushakaa na NN,wapi,sa ngapi? Au mlikutana central NN akiwa na tuhuma za kumtia za uso Lizzy?Hahahaaaa sitakii mie nisije pelekwa mahakamani wakati sina hela ya kumlipa lawyer! Nishawahi kukaa nae mara 2 ila yy hawezi kunijua hata akatambike!
Au mlikutana central NN akiwa na tuhuma za kumtia Lizzy?
Sio najishtukia...kuna PMs nilirushiwa kuulizwa. Siwezi kujishuku na kitu ambacho sihusiani nacho. Niliishia kuangua kicheko tu.
Ngoja nikuulize...hivi wewe mtu akikujia na kusema anadhani wewe ndo NN hutacheka?
Q bar kwa miguu? Ina maana wewe unaishi masaki/o'bay?
Zoezi limeanza kufanikiwa kwa asilimia nyingi...nipe hongera zangu bana huoni najitahidi?Unaona sasa Sweetlady...lile zoezi letu naona linaenda vizuri sasa. Au unasemaje?
ha ha ha, inachekesha
mie niliwahi ambiwa eti ni Nyani Ngabu
kweli unabaki kucheka tu
Zoezi limeanza kufanikiwa kwa asilimia nyingi...nipe hongera zangu bana huoni najitahidi?
Naomba nijiongeze kwenye list ila sasa itabidi mkiona mtu amevaa bugaluu na raizoni(maana mm ni mfupi sanaaa)mnisemeshe,mm natembea tu sihitaji hata bajaji. Nikivaa vingine mtanifananisha na wadada wa pale.
mamaT,in real life unadhani nyaniN ni nani? mi nahisi ni julio kocha wa kilimanjaro stars.
Hahaha.....mimi talia bana.Naanza bata shungu mimi...helua helua lol
Q bar kwa miguu? Ina maana wewe unaishi masaki/o'bay?