MMU thread ya kufungia mwaka

MMU thread ya kufungia mwaka

Sio najishtukia...kuna PMs nilirushiwa kuulizwa. Siwezi kujishuku na kitu ambacho sihusiani nacho. Niliishia kuangua kicheko tu.

Ngoja nikuulize...hivi wewe mtu akikujia na kusema anadhani wewe ndo NN hutacheka?

Hahahaaa ntagaragara chini kabisaaa. Ila aiseee siku ya kukuhisi ww sidhani kama ntakua nimebahatisha lol
 
Naomba nijiongeze kwenye list ila sasa itabidi mkiona mtu amevaa bugaluu na raizoni(maana mm ni mfupi sanaaa)mnisemeshe,mm natembea tu sihitaji hata bajaji. Nikivaa vingine mtanifananisha na wadada wa pale.

Q bar kwa miguu? Ina maana wewe unaishi masaki/o'bay?
 
mamaT,in real life unadhani nyaniN ni nani? mi nahisi ni julio kocha wa kilimanjaro stars.

Hahahaaaa sitakii mie nisije pelekwa mahakamani wakati sina hela ya kumlipa lawyer! Nishawahi kukaa nae mara 2 ila yy hawezi kunijua hata akatambike!
 
ushakaa na NN,wapi,sa ngapi? Au mlikutana central NN akiwa na tuhuma za kumtia za uso Lizzy?
 
ha ha ha, inachekesha
mie niliwahi ambiwa eti ni Nyani Ngabu

kweli unabaki kucheka tu
Sio najishtukia...kuna PMs nilirushiwa kuulizwa. Siwezi kujishuku na kitu ambacho sihusiani nacho. Niliishia kuangua kicheko tu.

Ngoja nikuulize...hivi wewe mtu akikujia na kusema anadhani wewe ndo NN hutacheka?
 
ha ha ha
mie kichwa changu kiko kama pembe tatu
ukiona tu, ita kongosho
nitapunga hewani

Back
Top Bottom