MMU thread ya kufungia mwaka

MMU thread ya kufungia mwaka

Wifi unajua leo Bishanga kaamkia bar yenye g'house humo humo, eti anasema nkuulize wewe kama Eliza wa Tegeta atanipiga akinikuta nae, eti wewe na Eliza mnaishi jirani, ya kweli hayo wifi?
aloamkia bar nani? Mwenzio nimeshinda church ya full gospel na TF na Husninyo tunamwombea Rejao pua lake lisidondoke!
 
acha uoga
wewe utakuwa nyoka wa maonesho
ni ushujaa mwanajeshi kufia vitani
hivi unadhani utaishi miaka hata 120?

bamwambie bana,halafu ongezea kuwa sterling hauawi,ushawahi kuona sinema ambayo van damme au chuck norris anakufa?
 
hebu mwacheni my sweetlegs Rejao

ila sweetheart wangu yuko palepale (***)

aloamkia bar nani? Mwenzio nimeshinda church ya full gospel na TF na Husninyo tunamwombea Rejao pua lake lisidondoke!
 
Kaizer,Kaizer,Kaizer,Kaizer,embu nimchore kichwani,60kg,one metre fifty,flaby,squinty eyes,afraid of dogs,chickens and rabbits,had a woman for the first time at 25,terrified of his wife,mmmmmmhhhhhh hawezi ku cheat na wewe huyo,nimem rule out,sema mwingine!
Tobaaaaaaaaaaaaaaa!!!!



Simo.
 
Dont shoot
nimesema tu
am scared na watu maarufu

wala usiwaogope,si unajua in real life mamemba kibao humu ni watu maarufu? To recap from jf udaku gazeti:
Ashadii (wema sepetu)
Bishanga(diamond a.k.a sharobaro)
Aspirin (Hon Mrema wa kiraracha)
Lizzy (saida kalori)
Eiyer( masanja mkandamizaji)
Bujibuji (joti)
Fidel (wakuvanga)
Husninyo(mama Terry)
TF(Shigongo)
..........nitaendelea ngoja nipande kaunta...
 
wala usiwaogope,si unajua in real life mamemba kibao humu ni watu maarufu? To recap from jf udaku gazeti:
Ashadii (wema sepetu)
Bishanga(diamond a.k.a sharobaro)
Aspirin (Hon Mrema wa kiraracha)
Lizzy (saida kalori)
Eiyer( masanja mkandamizaji)
Bujibuji (joti)
Fidel (wakuvanga)
Husninyo(mama Terry)
TF(Shigongo)
..........nitaendelea ngoja nipande kaunta...
Hahahahaaaaaa! No coment!!!
 
Back
Top Bottom