Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aloamkia bar nani? Mwenzio nimeshinda church ya full gospel na TF na Husninyo tunamwombea Rejao pua lake lisidondoke!Wifi unajua leo Bishanga kaamkia bar yenye g'house humo humo, eti anasema nkuulize wewe kama Eliza wa Tegeta atanipiga akinikuta nae, eti wewe na Eliza mnaishi jirani, ya kweli hayo wifi?
du! kongosho naomba namba ya simu Aspirin,nipe fasta kabla Eiyer hajanchoropoka,ndo nimemshikilia kooni hivo through PM.
Nimeanza tuishieni leo kwa Bishanga..afu na wewe umeanza lini haya?
mmmmhhh we nae una lako na mpendwa FF!
acha uoga
wewe utakuwa nyoka wa maonesho
ni ushujaa mwanajeshi kufia vitani
hivi unadhani utaishi miaka hata 120?
aloamkia bar nani? Mwenzio nimeshinda church ya full gospel na TF na Husninyo tunamwombea Rejao pua lake lisidondoke!
Akuuu! Mie na mlokole wa kanisa la mbao wapi na wapi?mlivyotoka naye outing last time ndivyo alivyovaa?
Nimeanza tuishieni leo kwa Bishanga..
Hakina tena uwezo huo kongosho, kimebaki kupeleka watu vekesheni tu...Unachezea hicho kibabu
kitakuzalisha
Tobaaaaaaaaaaaaaaa!!!!Kaizer,Kaizer,Kaizer,Kaizer,embu nimchore kichwani,60kg,one metre fifty,flaby,squinty eyes,afraid of dogs,chickens and rabbits,had a woman for the first time at 25,terrified of his wife,mmmmmmhhhhhh hawezi ku cheat na wewe huyo,nimem rule out,sema mwingine!
Hakina tena uwezo huo kongosho, kimebaki kupeleka watu vekesheni tu...
Dont shoot
nimesema tu
am scared na watu maarufu
Duuuh! Hilo kanisa lenu hilo...aloamkia bar nani? Mwenzio nimeshinda church ya full gospel na TF na Husninyo tunamwombea Rejao pua lake lisidondoke!
Hahahahaaaaaa! No coment!!!wala usiwaogope,si unajua in real life mamemba kibao humu ni watu maarufu? To recap from jf udaku gazeti:
Ashadii (wema sepetu)
Bishanga(diamond a.k.a sharobaro)
Aspirin (Hon Mrema wa kiraracha)
Lizzy (saida kalori)
Eiyer( masanja mkandamizaji)
Bujibuji (joti)
Fidel (wakuvanga)
Husninyo(mama Terry)
TF(Shigongo)
..........nitaendelea ngoja nipande kaunta...