Mna kheri wenye mama mkwe mzee

Mna kheri wenye mama mkwe mzee

Mwanaume asipojielewa hayo mambo atakutana nayo Sana.

Hapo ndipo mfumo dume hufanya kazi Kwa ufanisi zaidi.

Mwanaume mwenye Mfumo dume Ndoa haiwezi mshinda, na hawezi pelekeshwa na panya yeyote yule
Hakika,inabidi atambulike Kuwa ana misimamo yake🤜
 
yani ndoa za siku hizi inatakiwa uwe na roho ngumu ... laa sivo utajikuta umekula kuku na mayai yake
 
Lakini hata sisi vijana, ukiona mama mkwe analeta mazoea ambayo yatakuweka katika wakati mgumu, ni bora kuanza kumuepuka kiujanja bila yeye kugundua. Make sure you keep your marriage strong
Umeona ee,sasa vijana wenzio wanakula kweli😳kama siyo laana hiyo
 
Back
Top Bottom