The lastborn9319
JF-Expert Member
- Oct 30, 2021
- 852
- 1,745
Mambo ni mengi,muda mchache
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena mkuu,mama itatakiwa awe mama,siyo mama chakubimbi...aibu sanaNadhani shida ni tabia na si umri..
Achana na mama mkwe, kuna kimbemne ukiwa na mama mzazi kiswaswadu aisee ni fedheha, mtaani vijana wanaruka kama kawa, stori zinazagaa, mama mtu mzima hovyo. Mama shankupe, chakubimbi.. Kutwa kudaiwa na wenzie vikoba, mama aisipitwe kila shughuli yumo, aisee ni fedheha saana.
Katika mambo huwa namshukuru mungu saana MUNGU basi ni kunipa mama yangu huyu, na katika vitu nampa heko marehemu dingi basi ni kumchagua huyu mwanamke na mwishowe akaja kuwa mama yangu mzazi.
Upumzike kwa amani huko ulipo mzee
Password ni jina lako la kuazaliwa jirani...Asante sana jirani,ivi ulisema nitatumia password na siyo ufunguo ninapotaka kuingia?
This is too much!!!Ndivyo inavyotakiwa,siyo mazoea mpaka mama mkwe anakuuliza Jana usiku ulimfanya nn mwanangu[emoji15][emoji849]
Kama nakuona vile jirani na nauli yako 400 tu yakurudia utaipata huko huko...Sawa,nitafika jioni.Afu Leo nina moto sijui utaweza kuuzima🤔😔
kwanza ukaribu na wakwe tu sio poa kabisa!!!Lakini hata sisi vijana, ukiona mama mkwe analeta mazoea ambayo yatakuweka katika wakati mgumu, ni bora kuanza kumuepuka kiujanja bila yeye kugundua. Make sure you keep your marriage strong
Watu wazima hovyo hao. 😂Ni kweli huku mitaani kuna wamama wamezeeka lkn hawajikubali wanashare mabwana na mabint zao.
Wataka kupigishwa nduru... Kama umeni miss karibu jirani...🤣🤣🤣🤣Laiti ungeniona🤣....nimecheka kweli Aisee.Ndo ninachokumissiaga wallah🤣🤜🚴🚴🚴🤸
Usiutulize huo moto... karibu utulizwe... Ila jirani naomba uniroge nitulie...🤝Asante sana jirani.....see you later on