Mna kheri wenye mama mkwe mzee

Mna kheri wenye mama mkwe mzee

Nadhani shida ni tabia na si umri..

Achana na mama mkwe, kuna kimbemne ukiwa na mama mzazi kiswaswadu aisee ni fedheha, mtaani vijana wanaruka kama kawa, stori zinazagaa, mama mtu mzima hovyo. Mama shankupe, chakubimbi.. Kutwa kudaiwa na wenzie vikoba, mama aisipitwe kila shughuli yumo, aisee ni fedheha saana.

Katika mambo huwa namshukuru mungu saana MUNGU basi ni kunipa mama yangu huyu, na katika vitu nampa heko marehemu dingi basi ni kumchagua huyu mwanamke na mwishowe akaja kuwa mama yangu mzazi.

Upumzike kwa amani huko ulipo mzee
Umenena mkuu,mama itatakiwa awe mama,siyo mama chakubimbi...aibu sana
 
Kama nakuona vile jirani na nauli yako 400 tu yakurudia utaipata huko huko...
🤣🤣🤣🤣Laiti ungeniona🤣....nimecheka kweli Aisee.Ndo ninachokumissiaga wallah🤣🤜🚴🚴🚴🤸
 
Back
Top Bottom