Mna kheri wenye mama mkwe mzee

Mna kheri wenye mama mkwe mzee

Mmmh!!? ujui inatakiwa upite kwenye majaribu ili kukomaa kiakili na kiiman? Ruhusu majaribu ili ujione kama umekomaa au la
Majaribu yanaumiza na kuchoma kama moto😥
 
Nadhani shida ni tabia na si umri..

Achana na mama mkwe, kuna kimbemne ukiwa na mama mzazi kiswaswadu aisee ni fedheha, mtaani vijana wanaruka kama kawa, stori zinazagaa, mama mtu mzima hovyo. Mama shankupe, chakubimbi.. Kutwa kudaiwa na wenzie vikoba, mama aisipitwe kila shughuli yumo, aisee ni fedheha saana.

Katika mambo huwa namshukuru mungu saana MUNGU basi ni kunipa mama yangu huyu, na katika vitu nampa heko marehemu dingi basi ni kumchagua huyu mwanamke na mwishowe akaja kuwa mama yangu mzazi.

Upumzike kwa amani huko ulipo mzee
 
Ni kweli huku mitaani kuna wamama wamezeeka lkn hawajikubali wanashare mabwana na mabint zao.
 
Back
Top Bottom