Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 Mzee apewe pole tu
Tumwongezee tumbaku😂😂😂 Mzee apewe pole tu
Kabisa yaan hahahTumwongezee tumbaku
Umenena love,yaan kumwangalia usoni tu ni kosa kubwa.....unamtumbulia macho Ili utake nnKwanza hata kumtizama machoni mkwe(mume wa binti yako) sio adabu ije kuwa kumpigia simu na kuongea nae habari za kumisiana na kuomba matumizi!! Dah dah dah daaaaaaaaah!!!
Mashemeji wa kike pia hao ndo sitaki mazoea kabisa na mume wangu hata mkono natamani wasimshike,, mi sipendagi hata kukatiza mbele ya maboyfriend zao tu au kukaa nae eti napiga story nk hiyo ni kuepusha mazoea na kuanza kumvutia akutongoze then whaaaat!!! Maana wengine tuna vimvuto flani hivi vya kuvutia watu,, sio physically,
Mkwe wa kiume sio mtu wa kumuwekea mazoea kiasi hicho,,heshima yake ni ya kipekee hafanani kabisa na mkwe wa kike(mkamwana)
Unakuta mmaza anamtizama mkwewe usoni hivi akirembua vzr kumzidi binti yake na mkwe akadindisha inakuwaje au maza awe chombo kuzidi bintiye!!! Si ndo laana zenyewe hizo jamani,, sisi kwetu mkwe haruhusiwi kuonana na mama mkwe wake uso kwa uso labda kwa dharula maalum msiba, harusi ama ugonjwa, na mkamwana na babamkwe ni hivyo hivyo piaUmenena love,yaan kumwangalia usoni tu ni kosa kubwa.....unamtumbulia macho Ili utake nn
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama mkwe wa kyela mbeya hao[emoji1787]utasikia sawa anahela ila sura Hana[emoji1787][emoji119] mtazame yeye sasa,[emoji15]sura fanta miguu coca [emoji848]
Ndaga fijo..Hakika mna kheri.Ma mkwe vijana imekuwa shida Sana,zamani walishindikana Kwa mdomo but now wameshindikana Kwa vyote...game wanataka wale na watoto wao...masimango na kuchagulia waume au wake watoto wao(huyu simtaki,huyu Hana Hela,huyu mfupi Sana mbegu mbaya🙄),na kuachanisha ndoa ndo wamekuwa mstari wa mbele(huwa nashangaa Sana unakuta ma mkwe yupo free kuwasiliana na mume wa mwanae kama anawasiliana na watu wengine TU,kinyakyusa ni mwiko....una shida mwambie mtoto wako yeye atamwambie mumewe) siyo unapiga simu Moja Kwa moja Tena bila aibu unatanguliza na kaunafki juu"Eti mwanangu🤔 Sina chochote ndani vitu vimeisha😳" Aisee jamani...yaan alee mke na mke wa baba mkwe wake.Hapana Kwa kweli.Una shida na pesa mwombe mwanao then mwanao atajua atatoa wapi,anamwomba mumewe au mkewe ndo akupe hilo halikuhusu!
Hongera Sana wenye wakwe vikongwe hawanaga muda huu,wanashukuru wanachopata muda huo,toka Kwa nani sijui ilimradi wamekula na kuvusha Siku😘
Kajala hafai hata kutajwa kwenye jamii huyo ni mfu kimaadili.Imagine unamuoa paula na mkweo ndio kajala...dah Vanny boy na tembo wana kazi mnooo
Inategemea mkuu.Nipo huku europe miaka 10 sasa sijaona masuala ya wakwe kuingilia familia za watoto wao.
Duh, Vip bado wapo wote hadi leo?Inategemea mkuu.
2010 nilikuwa Denmark 2yrs kuna mamamkwe alimkataa katukatu binti flani kuolewa na kijana wake kisa wazazi wa binti baba ni green grocer na mama ni mwalimu.
Kilichotokea kijana alijiamulia afunge ndoa bila sherehe na mimi nikawa mpambe wake yaani tulikuwa wanne na padre wa 5 tu.
Yule mkwe alikuwa kisirani sana na hawakuelewanaga na mkwewe hadidi tulipoachana kwani nilifikia kwao.
Sema na wanaume tumezidi kuwa ma mbwa koko, utakubalije ukaribu na mama wa mpenzi wako?Unakuta mmaza anamtizama mkwewe usoni hivi akirembua vzr kumzidi binti yake na mkwe akadindisha inakuwaje au maza awe chombo kuzidi bintiye!!! Si ndo laana zenyewe hizo jamani,, sisi kwetu mkwe haruhusiwi kuonana na mama mkwe wake uso kwa uso labda kwa dharula maalum msiba, harusi ama ugonjwa, na mkamwana na babamkwe ni hivyo hivyo pia
Yes jamaa alikomaa na mke wake hadi leo huwa wanakuja kutembea Tz.Duh, Vip bado wapo wote hadi leo?
Ok, thanks 👏Yes jamaa alikomaa na mke wake hadi leo huwa wanakuja kutembea Tz.
Rafiki uko viwanja nini?Ok, thanks 👏