Getrude Mollel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 270
- 362
Bila shaka mmeona viwango vipya vya mafao kwa wastaafu ambavyo vimetangazwa hivi majuzi. Ikumbukwe kwamba, Rais Samia anasiku 433 madarakani na amefanya mambo makubwa sana kana kwamba amekaa madarakani miaka 5 au 10. Ngoja niwape na hii leo..
Picha linaanza kwamba, Kikokotoo kipya cha mafano ya mkupuo kwa wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii sasa kitakuwa 33% ukiachana na 25% kiwango ambacho kilikataliwa mwaka 2018.
Kubwa zaidi, kwa wale wanaolipwa kupitia PSPF na LAPF ambao ni asimilia 19 ya wanachama wote, viwango vya malipo yao vimetoka 50% hadi 67%. Sasa kuna zuzu atakuja hapa kusema kwamba tunasifu na kuabudu.. Kweli? Kwa mambo mazuri kama haya ambayo Rais Samia anafanya, naache kutoa sifa kedekede.
Hata kama mtasema kwamba hastahili sifa kwakuwa anatekeleza wajibu wake, lakini mbona hao waliopita hawakutekeleza wajibu huo?
Kubwa zaidi tena, Serikali imetangaza kikokotoo kipya cha mafao ya mkupuo kwa wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii ambapo kwa sasa kitakuwa 33% kutoka 25% kiwango ambacho kilikataliwa mwaka 2018.
Haya njooni mnipige niko hapa Dar kwa sasa Sinza Madukani nyumba 12 namba yangu ya simu ni 0788123569