Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 May 28, 2022 #21 Kama watu wana macho halafu hawalioni hilo jambo basi ujue hilo jambo halina umuhimu kwao. Unachokifanya ni kulazimisha umuhimu ambao haupo.
Kama watu wana macho halafu hawalioni hilo jambo basi ujue hilo jambo halina umuhimu kwao. Unachokifanya ni kulazimisha umuhimu ambao haupo.