Mna Nini Ndani ya Kitabu cha Sheikh Ponda?

Tai...
Tembelea Post # 13.

Wiki mbili zilizopita nimechaguliwa Mwanachama Bora JamiiForums wewe unazungumza nipigwe ban.
Hizo tuzo ambazo zinalalamikiwa? Hizo tuzo wameshinda mpaka wanaotetea ushoga na usagaji hapa jamvini tena wazi wazi ndio zinakupa ahueni? Badilisha mtazamo mzee wangu hizo chuki za kidini unazozichochea hazina afya kwenye ustawi wa Tanzania labda kama wewe binafsi unafaidika nazo. Huyo sheikh ponda mwenyewe sasa hivi ameshajieleimisha yupo neutral.
 
Mzee Mohamed Said jaribu kubadirisha fikra zako achana na fikra za mwaka 47.
Hii nchi haina udini hii nchi ni ya wote wenye dini na wasio na dini.
Huo upendeleo unaoutaka utaupata only Arabuni.
Muislam mwenzako Jakaya Kikwete aliwahi sema "Waislam ni km watoto wa kambo muda wote ni kulialia kuonewa"
Zeeka kwa amani mzee wangu,
Wakati wewe ukilalamika huku mitaani tunakula pamoja na kuoana bila shida.
Kwaheri!
Mambo...
Lakini majibu ya shutuma hizi hayatakiwi kutolewa na raia bali na serikali kwani ndiyo inayoshutumiwa na Waislam.

Rais Benjamin Mkapa yeye aliomba ushahidi na akapewa ushahidi ndani ya kitabu.

Haya majibu ya Rais Kikwete sijapata kuyasikia ningependa kupata taarifa za uhakika aliyasemea wapi, lini na katika nini hali gani?

Nikueleze kitu ili tuelewane.

Nimefanya utafiti na kuandika paper, "Islam and Politics in Tanzania," (1989)kuhusu tatizo hili nikiwa na umri wa miaka 37.

Hili kwangu mimi si suala kuwa nimerukwa na akili kwa ajili ya uzee.

Wananchi kuishi kwa amani hakumaanishi kuwa hakuna dhulma.

Angalia post # 13 itakueleza ukweli wa hali ya nchi yetu.
 
Hizo tuzo ambazo zinalalamikiwa? Hizo tuzo wameshinda mpaka wanaotetea ushoga na usagaji hapa jamvini tena wazi wazi ndio zinakupa ahueni? Badilisha mtazamo mzee wangu hizo chuki za kidini unazozichochea hazina afya kwenye ustawi wa Tanzania labda kama wewe binafsi unafaidika nazo. Huyo sheikh ponda mwenyewe sasa hivi ameshajieleimisha yupo neutral.
Tai...
Tafadhali weka ushahidi wa hayo usemayo.

Sijaona JF kufanya hayo.
Tuelimishe.

Miezi michache iliyopita nilialikwa Peacock Hotel katika uzinduzi wa kitabu cha Sheikh Ponda, "Juhudi na Changamoto," kuhusu dhulma katika jamii.

Mimi ndiye niliyekifanyia kitabu pitio yaani "book review."
 
Kha kha kha bado tu sheikh ponda anataabika na kanisa. Eti kanisa linachagua viongozi!, akina mzee side nao wanashadadia dandia maneno mwishowe mjifie na vihoro bule, subilini Mfe Kwa amani kwanza ndio tupo busy na ripoti za CAG mixa mtaani ni fujo tu za waislamu kwa wakristu kuoleana kuslim mixa kuokoka tabu za nini watanzania sie. Tangu lini kanisa likawajibu wajinga wasio hata na certificate ya matumizi ya kompyuta ya pale Green college akina sheikh ponda? Hawa kina ponda walio slim miaka mingi baada ya kutoka kwene upagani uliokithiri huko kongo, mie huwashangaa baadhi ya waswahili wa maisha ya kawaida dar huko manzese temeke na magomeni kushadadia upuuzi upuuzi tu huku majizi yapo serikalini yakifisadi na kutafuna mabilioni ya shillingi(elimu elimu elimu). Miaka yote ni lawama tu! Mzee huchoki wala huna haya usoni!!. Eti mkapa alijibiwa na kina njozi? Moron.
 
Ujamaa...
Ikhtilafi za kuona mambo kwa namna tofauti inaifanya dunia kupendeza.

Halikadhalika kumstahamilia hata yule ambaye dhahir ni dhalili katika fikra na uwezo wa utambuzi na mengineyo hata kuandika kwenyewe.

Ikiwa hali ni hii kweli naweza kukupa rejea za kusoma kuhusu tatizo hili?

Unao uwezo wa kumsoma Bergen (1981), Sivalon (1992)?

Akili ndogo tu ingeuliza.

Prof. Njozi kaandika kitu gani hata serikali ikaamua kukipiga kitabu marufuku?
 
Hata vitabu vya ushoga navyo vimepigwa marufuku. Ni wapuuzi tu wewe ukiwa mmoja wao kuamini kitabu cha prof. Njozi. Wataka mifarakano tunawajua nchi hii wewe pia ukiwa catalyist mmoja wao hata Vurugu nyingi umekiri kuhusika lakini kwa ujanja wako maandamano yakianza wewe hujificha mitaa ya likoma ukijitahidi sana safari yako huishia mnazi mmoja. Kutwa kuandika maandiko na ubishi uliokithiri umejaa kichwani mwako kutwa kumnanga hayati baba wa taifa na ukristo wake na wakristo kwa ujumla, iwapo tukiamua kujibu basi amani itaishia hapo, lakini hatuwezi fika huko kisa wajinga mlio wachache kwanza huna miaka mingi mbele. Hivyo hatutaabiki na mfu.
 
Bahati mbaya umeghadhibika unaandika matusi na uongo.

Serikali ndiyo inayostahili kutoa majibu ingawa raia wanaweza kuchangia mawazo.

Hili si jambo la kujibiwa na waumini wa imani moja au nyingine.

Hili jambo lililopo mezani ni jambo zito linalohitaji utulivu.

Ndiyo Mkapa alipoingia madarakani akaamua kulizungumza hadharani na kuomba ushahidi.

Na ushahidi akapewa.

Serikali wameisikia Khutba ya Ijumaa ya Sheikh Mziwanda Msikiti wa Mtoro akieleza tatizo hili linalokabili nchi yetu.

Kwetu Waislam hii ni hatua kubwa sana.
 
Ujamaa...
Nadhani tatizo ni kuwa hatufahamiani:
PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006.

Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam.

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam.

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam.

Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam.

Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam.

In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi).

The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards

Visiting Scholar: (2011)

University of Iowa, Iowa City, USA

Northwestern University, Chicago, Illinois, USA

Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED

Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
Ujamaa...
Chukua muda ujifunze kuandika.

Kabla hujaingia katika mjadala na yeyote jitahidi kwanza kumfahamu hata kwa uchache yule unaejadiliananae umjue.

Hii itakusaidia usiandike vichekesho na taarifa za uongo.

Lakini kubwa ni kuwa na ujuzi wa hicho unachojadili ni muhimu ulifahamu vyema somo lenyewe.

Ufahamike mala ngapi Mohamed?. Publications, article na research zako kwene mada zako ni useless!. Nyingi Sana zinawahusu nyinyi mimi sio baraza la maulid au ulamaa nianze kuzisoma kwanza sioni umuhimu wake. Naona mpaka sheikh ilunga nae yupo ahhh hii ni hatari, maelezo mengi yaliyojaa uislam tu?. Hoja hapa ni mada zako chonganishi, fitna dhidi ya jamii kubwa ya wakristo na ukristo wao. Jifunze kuelimika kulingana na mazingira na muda maana nafsi yako bado inaishi enzi za uguvugu la vita baridi afu kubali kujifunza kwa wengine.
 
Hukuwa unanijua kila ninapokusoma.

Ungekuwa unanijua usingeandika uongo kuhusu mimi.

Ungetambua kuwa mimi nimeandika sana kuhusu historia ya Waislam na ndiye niliyeokoa historia ya mchango wao katika kupigania uhuru wa Tanganyika isipotee.

Ungekuwa unanijua ungefahamu nafasi yangu katika historia ya Julius Kambarage Nyerere.

Historia ya Nyerere na uhusiano wake na Waislam ilikuwa haifahamiki kalamu yangu ndiyo iliyokuja kuiweka peupe na kuwa sehemu muhimu ya historia ya Tanzania.

Naujua mchango wa Nyerere katika historia ya mapinduzi ya Zanzibar na namjua Nyerere katika historia ya Tanganyika.

Historia hii ndiyo iliyonipa umaarufu na kunifungulia milango mingi katika Vyuo Vikuu ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

Ungekuwa unanijua ungefahamu kuwa kitabu cha Abdul Sykes (1998) nilichoandika mimi ndiyo kielelezo cha historia ya kweli ya TANU na uhuru wa Tanganyika.

Kwa ajili hii ndiyo mwaka wa 2011 yeye na ndugu yake Ally Sykes wakatunukiwa Medali ya Mwenge wa Uhuru kwa mchango wao katika kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.

Sasa ungekuwa unanijua kweli usingetunga hadithi za uongo kuhusu mimi na kuziweka hapa ukijaribu kuchafua jina langu.

Wanaonijua na kutambua ujuzi wangu katika historia ya Tanganyika wamefanya mahojiano mengi na mimi katika vyombo vyao iwe hapa nyumbani au huko kwao.

Ungekuwa unanijua ungekuwa na staha kwa kutambua haya na usingeandika vichekesho na vituko dhidi yangu.

Wewe unaniambia mimi nijifunze kuelimika wakati mimi kalamu yangu inaandika vitabu vinavyochapwa na Oxford University Press Nairobi na New York katika miradi ya historia ya Afrika inayosimamiwa na Harvard?

Mimi nielimikaje zaidi ya hivi ilhali kitabu cha Abdul Sykes kipo katika Cambridge Journal of African History na baba yake nimemtia ndani ya Dictionary of African Biography (DAB)?

Wewe una kipi unachokijua katika historia ya Julius Nyerere?

Mimi nimehariri kitabu kimoja cha Nyerere na nimeshirikishwa katika uandishi wa kitabu cha maisha yake, "Nyerere Biography," (2020).

Narejea kukukumbusha kuwa JF imeniadhimisha kwa uandishi wangu wa historia kwa miaka miwili mfululizo 2021 na 2022.

Nisingeweza kupewa heshima hii ingekuwa naandika uchonganishi.

Nimefika hapa kwa kuwa kalamu yangu siku zote imeandika kweli na kweli tupu bila ya kumuogopa yeyote.

Niko JF kwa sura, sauti na kwa jina langu halisi.

Media inafika hadi nyumbani kwangu kufanya mahojiano na mimi pamoja na TBC, Azam na Online TV.

Wewe unaandika uso wako umeuficha.

Hakuna anaekujua.
Yapo mengi.
 
Unageuza mada!! Kwani hujui kuwa wewe ni mfitini nchi hii?. Historia inafahamika ya Nyerere na uhuru wa nchi hii. Umeandika hadithi za kusadikika za wahusika mbalimbali wa kariakoo na wachache wa maeneno tofauti tofauti, hizo historia zako kamwe haziwezi kuwa historia za kupigania uhuru. Yaani mtoto wa mamluki wa askari wa kijerumani leo hii historia yake iwe historia ya tanu na uhuru. Vichekesho!!

Kwani wakina ally Sykes kutunikiwa tuzo wao ndio walikuwa wa kwanza au wewe kufanyiwa mahojiano ndio wengine hawajafanya mahojiano?. Shame on you moron

Historia yako kwene hizo toilet paper za life and times of abdulwahid sykes jukumu lake kuu ni kushusha legacy ya Hayati baba wa taifa, kwa namna nyingi hilo limeshindikana, siku hizi adabu na kiburi kimepungua kichwani mwako labda kwasababu ya umri na maradhi nyemelezi. Kuna bweha mmoja aitwaye faizafoxy mlidiriki kumwita hayati baba wa faita ni laanatulah. Stupid!. Hivyo vitabu sio kila mtu huvisoma, labda kwene misikiti ya mamluki wa kishia na jumuiya chache kwanza huko pia havijasomwa na walio wengi.

Jukumu lako kuu kama mamluki wa kishia ni muendelezo wako wa kujaribu kufitinisha umma mkubwa wa wakristu na waislam wa nchi hii, miaka na miaka kazi yako ni kuandika uongo, uvumi na kila aina ya siasa kali za majitaka ukijiweka kama mtetezi wa waislam wa nchi hii.!! Who are you?.

Umri unakutupa mkono sasa na maandanamo ya jumuiya za waovu wachache na mamluki mmeshindwa kwa sasa mpo mpo tu. Wafadhili naona wamepungua sikuhizi!!

Mbwembwe nyingi majigambo na mituno si kitu bwana mdogo, kaa kwa kutulia Njoo na solution Kwanini misikitini huko manyema wengi wenu elimu ni hakuna. Maneno mengi afu wewe huyohuyo ulisoma kwene shule za kanisa afu unakuja hapa na bwabwaja zako eti “tumehujumiwa”_ umehujumiwa nini wewe wakati elimu yako umeipata kwene shule za kanisa. Foolish
 
Mkorea...
Zipo mada za utani ukatumia lugha za utani za maneno "lialia."

Hii si mada ya maskhara.
Wewe mwenyewe umewasilisha kwa njia ya utani maana hujatoa ushuda ni jinsi gani waislam wametengwa na kunyanyaswa
 
Hakika umesema kweli kuwa African Association imeanzishwa na watoto ambao baba zao waliingia Germany Ostafrika kutoka Mozambique, Belgian Congo na Sudan.

Hawa nawakusudia Kleist Sykes (Imhambane Mozambique), Mzee bin Sudi (Belgian Congo)na Ibrahim Hamisi (Darfur, Sudan).

Pamoja na hawa walikuwa wenyeji wa Tanganyika: Suleiman Majisu, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Cecil Matola, Raikes Kusi na Rawson Watts.

Hii ilikuwa 1929.

Katika kundi hili Kleist Sykes ndiye kabla ya kifo chake 1949 aliandika historia ya harakati za African Association ambayo hivi sasa ipo katika kitabu alichohariri John Iliffe, " Modern Tanzanians, " (1973).

Watoto wa Kleist Abdul, Ally na Abbas wakawa viongozi wa African Association kuanzia 1950 na wakaunda TANU wakiwa na Julius Nyerere 1954.

Kadi ya TANU ya Abdul Sykes ni No. 3, Ally Sykes no. 2 na Julius Nyerere no. 1.

Hii ni historia ambayo mimi nimeandika kitabu kizima mwaka 1998.

Mimi ndiyo mtafiti wa kwanza kuandika historia hii na kwa hakika ilileta kishindo kikubwa kama unavyoona hapa wewe unavyotaabishwa na historia hii.

Mimi ndiyo wa kwanza kuieleza dunia kuwa historia ya uhuru wa Tanganyika iliyokuwa imeandikwa ina makosa mengi.

Ikiwa wewe unaona hii si historia ya TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika hutakuwa wa kwanza.

Mengine yako nimeamua kuyanyamazia.
 
Waislam wanatengwa miaka ile au mpaka leo??
Ni kwa namna gani waislam wanatengwa sasa ilhali mna watu huko ngazi za juu, tena mna mwenzenu ambae ni mhislam kabisa!!?

Mna vyuo, mna shule za kiislam, misikiti kila mhala. Mnasoma sawa na watu wa dini nyingine.

Miji yenye waislam wengi kama Dar, Tanga na huko Zenji mpaka baadhi ya vitu hubadilika kisa tu waislam ni wengi na hakuna lawama.

Sasa mzee wangu nyie mnaona ni angle gani hasa mnaonewa/kudhurumiwa haki yenu??
 
Vishu...
Soma huu uzi taratibu kuanzia mwanzo utaelewa mada hii inazungumza nini.

Wachangiaji wengi wametoa fikra zao hapa.
 
Wewe mwenyewe umewasilisha kwa njia ya utani maana hujatoa ushuda ni jinsi gani waislam wametengwa na kunyanyaswa
Much...
Kama hakuna ushahidi katika hoja yoyote hili haliwi utani.

Huu ni upungufu na unachotakiwa kufanya ni kuomba ushahidi uletwe.
 
Vishu...
Soma huu uzi taratibu kuanzia mwanzo utaelewa mada hii inazungumza nini.

Wachangiaji wengi wametoa fikra zao hapa.
mchangiaji mkuu ni wewe ndio maana nimekuuliza, kwa ufupi tu, je ni ishu ya historia au ni mpaka leo hamzingatiwi??
 
Hakika mimi ndiye mchangiaji mkuu.
Lakini sina jibu fupi ndiyo nimekuomba usome kuanzia mwanzo.
 
Toka huko juu hakuna jibh langu mkuu, hakuna sehemu imeandikwa moja kwa moja kua hujuma zipo mpaka sasa au ni vile tu unadai uislam/waislam hawatajwi kwenye historia!!
Ndio maana nikauliza ni mpaka leo, ni ndio au hapana mkuu.
 
Back
Top Bottom