Mna Nini Ndani ya Kitabu cha Sheikh Ponda?

Mna Nini Ndani ya Kitabu cha Sheikh Ponda?

Zipo nyingi sana. Ukiwa kama gwiji wa uvumi mitandaoni sizani kama hujawahi ona mada hizi hapa jukwaani, kama upo tiari basi fungua mjadala mpya watu waanze kushusha nondo.
Ujamaa...
Mimi si mtu wa lugha za "nondo."
Siko hapa kubishana.

Kama unayo taarifa ya yaliyokuwa yakifanyika UDOM niipatie nijifunze yale ambayo siyajui.
 
Ujamaa...
Mimi si mtu wa lugha za "nondo."
Siko hapa kubishana.

Kama unayo taarifa ya yaliyokuwa yakifanyika UDOM niipatie nijifunze yale ambayo siyajui.
Soma post #78 hapo utajua kilichokua kinafanyika UDOM
 
Back
Top Bottom