Mnaanzisha vipi maongezi na pisi kali inayopita zake tu?

Mnaanzisha vipi maongezi na pisi kali inayopita zake tu?

Aahahahaaaahahaa umenifanya nitabasamu huku naangalia dirishani jinsi matone ya mvua yanavyogonga ardhini na kutuama juu ya uso wa nchi.

Acha uchokozi banaa..... aahahahaha

Kwani, alikusimulia hili tukio...?
Umejuaje ndo huyo niliyekutana naye?
Ilikuwa ndo tabia yake hadi akapata mke kwa style hiyo?
Yawezekana ni kweli, maana alikuwa rangi kama yangu si mweusi si mweupe ila mrefu kiasi cha kusema ni mmasai...

Taswira yake siikumbuki, ila hilo tukio halinitoki sijui kwanini hata....!!!🤔🤔🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️

Well, pia huwezi jua, kupishana na lifti ya hela si ajabu nisingewezana nayo....
Malezi niliyokulia tofauti na waschana wa kisasa....
Kuna vipaumbele nilifunzwa kuviangalia kwa mwanaume na si mali au pesa au nyadhifa....

Isitoshe, mara nyingi, watoto au familia za nyoka huwa wanaoana wenyewe kwa wenyewe... ngumu sana kama sina chimbuko la nyoka nikaolewa kwenye familia ya nyoka...

Wewe sema ukweli kuwa umetania tuu, ila mie nimesimulia ukweli wa tukio halisi.
Hii ni riwaya sasa.
 
Ukivunga apite ,sekunde mbili tu unamsahau kama kweli upo seriously na maisha.
 
Wengine hata kutongoza hatutongozi, Tunajikuta tu mzigo tumeshapewa...Sasa hapo tunaamua iwe ni mahusiano au upite na zako....Yote kwa yote saizi sitaki kabisa kuchezea dada zetu hawa nmeumiza wengi kwa mtindo huu nafeel guilty kinoma.
LOVE is just like a WAR easy to start DIFFICULT to END 🔚

Cc. Palestine vs Israeli
Cc. Russia vs Ukraine
 
Mnakosa ubunifu vijana,mademu hata kama ni pisi Kali wanahuruma so jifanye kama umejikwaa halafu jiangushe mbele yake kama furushi puuuuuh,manzi anataanza zile za jamani umeumia!!!?hapo unajua Cha kujibu sio lazima nikutafunie Kila kitu.
 
Hhhh 😁 wazee tutakuja tuvunjike
 
Sijawahi kumsimamisha mwanamke stranger kwenye kadamnasi hata kuomba namba tu siwezi hata awe kanivutia vipi.

Maamuzi/reaction yake lazima itaathiriwa tu na huo uwepo wa watu wengine na kwa asilimia kubwa mkeka utachanika unless awe ni wale wauzaji.
Kwaiy ww huwa unafanyaje ukitaka kudate na demu
 
Chukua simu Yako halafu fanya kama unamrekodi hakikisha akuone kama unarokodi lengo ni kupata attention yake in first approach.

Akija usawa akitaka kujua why unamrekodi [emoji2]mwambie haumrekodi muoneshe front camera mwambia ulikuwa unajichukua self.

Sasa from there chombeza kidogo utapata namba na kama mfukoni uko fresh omba appointment. [emoji1787]

Asije kukuripoti tu somewhere [emoji1787]
 
Huwa naangalia uelekeo wake kama anaelekea ninakoenda namfata naongozana naanzisha stori

Kama anatokea mbele yangu ile stail ya kupishana hapo simsimamishi nampotezea

Ila demu niliempa lifti kwenye baiskeli yangu huwa simuombi hata namba maana najua ataamini nilimsaidia ili nimtongoze kwahiyo hata awe mzuri vipi sichuki namba yake.
Ni baiskeli au ndinga una maanisha

Kama ni ndinga basi unakosa vitu vizuri.

Watoto wa wakike hata awe matawi kiasi gani wanapenda magari hata liwe vitz chukua namba na utapewa.

Kula mambo mazuri. Jifanye unawaonea huruma Wanawake. Sio wa kuwaonea huruma.
 
Sasa uko kwenye daladala kule siti ya nyuma afu inakuja PISI KALI inakaa kule mbele itabidi ushukie kituo ambacho siyo chakwako
daah hii kitu ilimtokea mwana kuna cku tukiwa daladala za mwenge iliingia pisi ina tela lake. ila mwana alifanikiwa kuiachia namba maana tuliwahi kushuka. cha ajabu ile manzi haikumtafuta jamaa.
 
Ni baiskeli au ndinga una maanisha

Kama ni ndinga basi unakosa vitu vizuri.

Watoto wa wakike hata awe matawi kiasi gani wanapenda magari hata liwe vitz chukua namba na utapewa.

Kula mambo mazuri. Jifanye unawaonea huruma Wanawake. Sio wa kuwaonea huruma.
Siwahurumii lakini siyo kipaumbele changu sihitaji madem lukuki
 
daah hii kitu ilimtokea mwana kuna cku tukiwa daladala za mwenge iliingia pisi ina tela lake. ila mwana alifanikiwa kuiachia namba maana tuliwahi kushuka. cha ajabu ile manzi haikumtafuta jamaa.
Alibid yeye ndo achukue no yake.ni wachache Sana watakutafuta
 
daah hii kitu ilimtokea mwana kuna cku tukiwa daladala za mwenge iliingia pisi ina tela lake. ila mwana alifanikiwa kuiachia namba maana tuliwahi kushuka. cha ajabu ile manzi haikumtafuta jamaa.
Ukimwachia no Ivo kukutafuta KAZI mi nilisha wapa kama kadhaa alinitafutaga mmoja Tu tena alikaa nayo karib mwaka mzima
 
Back
Top Bottom