Mnafeli wapi? Zamaradi Mketema kapewa range rover na mumewe!

Mnafeli wapi? Zamaradi Mketema kapewa range rover na mumewe!

Zamaradi Tena kaongwa kitu kipya zeroo km Aina ya range Rover autobiography Kali sana hapa mjini DSM.

Dada yetu ana bahati ya peke haswa kwa kipindi hiki huwezi pata mwanaume akuonge pesa ndefu huku ulikuwa single maza na watoto watatu juu siyo kawaida kabisa, dada mshukuru Sana mungu kwa hilo, siyo Jambo dogo kabisa hili.

Ila pia naambiwa mhongaji anatokea Royal family moja kubwa hapa nchini haijajulikana ni ipi hadi sasa.

Kudos Sana mhongaji uko vizuri ilisemekana wee ni mmoja wa watu wanaopata furaha Sana ktk mapenzi konde boy haoni ndani.
View attachment 2411275View attachment 2411276
wakati wewe unauliza wao wana fail wapi, demu wako huku nae anajiuliza wewe una fail wapi kuhonga hata sendle zenye manyoya?
 
Watu wengine ni wajinga kweli kweli, kwani hakuna mwanamke alienunuliwa gari kali zaidi ya hilo, na kamute tu.
Nani huyo mkuu labda mataje wapo kweli Ila siyo ranger rover Autobiography mkuj

HV inajui hi mashinee
 
wakati wewe unauliza wao wana fail wapi, demu wako huku nae anajiuliza wewe una fail wapi kuhonga hata sendle zenye manyoya?
[emoji23][emoji23][emoji23] nimeonga Sana mkuuu Ila bado siajonga gari wala pikipiki
 
Watoto watatu wa kufikia?
Range Rover?
Limwata at work.
Huyo bibie ni mnyamwezi au mmakonde?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hmn babu jamaa Kuna kitu anapewaa vzr San hkn libwata hapo upendo tu
 
Dah hapana rafiki mwema nilimaanisha hao wanaotaka kutangazana ngono zao kwenye mabango.. Pole kama nimekuumiza hisia
Kaka Mshana Jr hivi uki sex na msichana asiye mke wala mpenzi wa mtu, pia nawe hujaoa na huna mpenzi, je hapo inahesabika umezini? Ufafanuzi kaka.

Pia, suala la ZAKA(FUNGU LA 10) ni lazima kutoa kwenye kila unalofanikiwa(i.e pesa, mazao n.k)?
 
Kwa kusoma hizi comments za nyuma ya keyboard unaona jinsi binadamu tulivyo, wengi tuna wivu, husda na roho mbaya, inahitaji mtu aliye evolve kiroho kuwa na upendo wa dhati kuelekea wengine na kuwafurahia kutoka moyoni wanapofurahi.

Kama kweli kajinunulia lakini katangaza kununuliwa naona mambo mawili, aidha anatania ili mtoe mapovu akafulie au inaonyesha alitamani kweli anunuliwe na ikashindikana kwa sababu zozote zile hivyo kaamua kujinunulia kujifurahisha, sasa wivu kwa mtu wa hivi sijui mnatoa wapi kama sio roho mbaya tu ndomaana mume wangu wa kupuliza alivyorudi Huku Nangurukuru kutoka Dar na kuniletea zawadi ya baiskeli sikupost wasap sababu nilijua watu wangenionea wivu na kuniroga hapa kijijini
 
Upo sahihi sasana

And these case is closed
Kodos shabani na zamaradi ,shabani fanya hima umnunulie sas private jet
 
Back
Top Bottom