Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Atakuwa kajinunulia mwenyewe.
Msitake kufanya mashine zetu zionekane zina gundu
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama mkwe una mambo sana hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa kajinunulia mwenyewe.
Msitake kufanya mashine zetu zionekane zina gundu
Sio mzuri kivile, sema atakuwa mtaalamu wa 6x6😄,wanasema anafinyiaga ndani🤷🏻♂️Wadhamini pandisheni picha ya muhongwaji tumuone wengine hatumjui!!!
Rafiki mwema ukiona mahusiano yanapambwa na kupambaniwa sana mitandaoni jua kuna shida kubwa ndani yake.. Ni kama vile uzuri wa mkakasi unavyoonekana kwa nje
Sasa mkuu unadhani ataificha ndinga hyoSasa ngoja tuone kama ataacha kutembelea ile DGB ya blue au Alphard Nyeusi maana bongo sanaa ni nyingi sana! Autobiography sio kitoto kama ni kweli tutamuona njiani huku bahari beach maana ndiyo njia yake kuu.
Ni pesa za tozo Basi kam Hana kazi ,kijana katokea kwenye royal family lzm tenda zipo nyingi na siyo za kitotoNikisikia Zuchu,au Zari,au Mobeto kaongwa gari ya milioni 200!na Mond,sitashangaa,maana Dunia inajua mkwanja na kazi anayofanya Mond,
Sasa huyu mwamba,anaye onga vogue anafanya shughuri gani,madini,kilimo,ni CEO?
Au hizi ni swaga tu
Wengine mashine zenu zimepukuchuka hazina kazi baridii kama freezer😂Atakuwa kajinunulia mwenyewe.
Msitake kufanya mashine zetu zionekane zina gundu
Zamaradi namuona sana na Aphard Nyuesi ila kwa Dungu Jeshi atafunika balaa...Autobio ni qwere.Sasa mkuu unadhani ataificha ndinga hyo
Hujajibu swali mkuu au haujaolewa bado nmemaanisha nini?Aisee haya bhnaa uko vzr
Nikiokota pesa lazima nivute huyo mnyama.Balahh na nusu hyo gari Ni kwikwi
Eti eeh.Wengine mashine zenu zimepukuchuka hazina kazi baridii kama freezer😂
DGB si anaendeshaga Shaban?...naona anaipaki sana pale sms garage k'nyamaSasa ngoja tuone kama ataacha kutembelea ile DGB ya blue au Alphard Nyeusi maana bongo sanaa ni nyingi sana! Autobiography sio kitoto kama ni kweli tutamuona njiani huku bahari beach maana ndiyo njia yake kuu.
Anafix gari..in another way ni fundi garageNikisikia Zuchu,au Zari,au Mobeto kaongwa gari ya milioni 200!na Mond,sitashangaa,maana Dunia inajua mkwanja na kazi anayofanya Mond,
Sasa huyu mwamba,anaye onga vogue anafanya shughuri gani,madini,kilimo,ni CEO?
Au hizi ni swaga tu