Mnafeli wapi? Zamaradi Mketema kapewa range rover na mumewe!

Mnafeli wapi? Zamaradi Mketema kapewa range rover na mumewe!

Sasa ngoja tuone kama ataacha kutembelea ile DGB ya blue au Alphard Nyeusi maana bongo sanaa ni nyingi sana! Autobiography sio kitoto kama ni kweli tutamuona njiani huku bahari beach maana ndiyo njia yake kuu.
Sasa mkuu unadhani ataificha ndinga hyo
 
Nikisikia Zuchu,au Zari,au Mobeto kaongwa gari ya milioni 200!na Mond,sitashangaa,maana Dunia inajua mkwanja na kazi anayofanya Mond,
Sasa huyu mwamba,anaye onga vogue anafanya shughuri gani,madini,kilimo,ni CEO?
Au hizi ni swaga tu
Ni pesa za tozo Basi kam Hana kazi ,kijana katokea kwenye royal family lzm tenda zipo nyingi na siyo za kitoto
 
Back
Top Bottom